admin
MTIBWA SUGAR YATOSHANA NGUVU NA YANGA JAMHURI, MOROGORO
MTIBWA Sugar leo imebanwa mbavu na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Morogoro kwa kufungana bao 1-1 ndani ya dakika...
VPL: MTIBWA SUGAR 1-0 YANGA
UWANJA wa Jamhuri, Morogoro Mtibwa Sugar 1-0 YangaDakika ya 42 Kabwili anaanzisha mashambulizi Dakika ya 36 Kaseke anaonyeshwa kadi ya njano Dakika ya 28 Chanongo GooooolDakika ya...
KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR DHIDI YANGA UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO
KIKOSI cha Mtibwa Sugar leo dhidi ya Yanga
KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA MTIBWA SUGAR, KABWILI NDANI
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro
NGOMA MTIBWA SUGAR MAMBO YAMEKUWA MAGUMU GHAFLA
GHAFLA tu Mtibwa Sugar imeanza kuporomoka kwenye ramani ya soka Bongo huku ikiwa ina kila kitu kinachoitwa vipaji pamoja na miundombinu. 1988 ilianzishwa na kundi...
SIMBA YAIPOTEZA YANGA JUMLAJUMLA NDANI YA DAKIKA 270
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameshindikana kwenye mechi zao tatu ambazo ni dakika 270 walizocheza Uwanja wa Taifa kwa kufunga idadi kubwa...
AZAM FC HESABU ZAO ZIPO NAMNA HII
Azam FC ipo nafasi ya tatu Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 66.Kuhusu kushuka nafasi ya pili kwa sasa uongozi wa...
HAWA HAPA NDANI YA LIGI KUU BARA NI MWENDO WA 41...
MECHI 36 ambazo wamecheza ndani ya dakika 3,240 ngoma imeleta pacha matata kwa upande wa pointi kibindoni na wameogeza Vita ya timu kushuka Daraja.Timu...
MBAO YAJIPA MATUMAINI KUBAKI NDANI YA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Mbao FC umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC.Mbao inapambana kubaki ndani ya...
ASTON VILLA WANAKUJA HIVI WANAKATAA, WAINYOOSHA BAO 1-0 ARSENAL
ASTON Villa inayoshiriki Ligi Kuu England imeanza kurejesha matumaini ya kubaki ndani ya Ligi hiyo baada ya usiku wa kuamkia leo kushinda bao 1-0...