admin
KUMBE CHAMA ISINGEKUWA MPIRA ANGEPIGA MISHE HIZI
CLATOUS Chama, kiungo wa Simba amesema kuwa isingekuwa mpira angejihusisha na masuala ya vichekesho kwani ni miongoni mwa vitu ambavyo alikuwa akifikiria kuvifanya wakati...
KIUNGO WA YANGA ISHU YAKE YA KUTUA SIMBA YALETA MPASUKO
BENCHI la Ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu Mbelgiji, Sven Vandenbroeck limejigawa katika usajili wa kiungo mshambuliaji wa Yanga Mghana, Bernard Morrison.Mghana huyo...
YANGA WANA HASIRA KWELIKWELI KUPOTEZA MATAJI MAWILI, HESABU ZAO ZIPO HIVI
KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa Ubelgiji, Luc Eymael amefunguka kuwa kitu pekee kilichobaki katika mikono yao ni kuhakikisha kuwa wanaitwaa nafasi ya pili...
MTIBWA SUGAR WAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya yanga unaoatarajiwa kuchezwa Julai 22,...
HIYO VITA YA MTIBWA SUGAR V YANGA NI BALAA
KIKOSI cha Yanga kimeendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea Kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar.Mchezo huo...
KUMEKUCHA SIMBA, MBELIGJI APEWA MECHI TATU AKIZINGUA MOJA KUPIGWA CHINI JUMLAJUMLA
LICHA ya kuipa Simba ubingwa wa tatu mfululizo bado maisha yake ndani ya kikosi hicho hayana muda mrefu kutokana na mvutano uliopo ndani ya...
MESSI AMPOTEZA MAZIMA BENZEMA WA REAL MADRID
Mashine ya kazi ndani ya La Liga msimu wa 2019/20 ametupia mabao 25 na ametoa jumla ya pasi 21 zilizotengeneza mabao.Lionel Messi amempoteza Karim...
BERNARD MORRISON AIBUA MAPYA TENA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison, ameibuka na jipya akisema kwamba, sababu kubwa ya yeye kutoenda mazoezini ni kuhofia kupigwa na mashabiki na wachezaji...