HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI 15, UHAKIKA KUPIGA YANGA 2020/21, MORRISON NDANI
HAWA hapa nyota 15 inaelezwa kuwa wana uhakika wa kukipiga ndani ya Yanga msimu wa 2020/21.Jina la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ambaye amekuwa kwenye mvutano…
HAWA hapa nyota 15 inaelezwa kuwa wana uhakika wa kukipiga ndani ya Yanga msimu wa 2020/21.Jina la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ambaye amekuwa kwenye mvutano…
UONGOZI wa Yanga imeelezwa kuwa upo kwenye mazungumzo na nyota wake saba ambao bado wana mkataba na timu hiyo ili waweze kusitisha nao mikataba.Nyota hao…
KELVIN Yondani na nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga, Juma Abdul wapo kwenye mazungumzo na Klabu ya Yanga ili waongeze muda wa kuitumikia klabu hiyo.Wakongwe…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna mpango wa kuachana na Kocha Mkuu, Sven Vandenbrocek kama ambavyo imekuwa ikielezwa.Hivi karibuni taarifa zilieleza kuwa Sven ndani ya…
MRISHO Ngassa kiungo mshambuliaji wa Yanga leo amewaaga rasmi mashabiki wake kwa kusema kuwa msimu ujao hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga.Kupitia ukurasa wa Instagram,Ngassa…
KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungua miaka miwili aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael kujihusisha na masuala ya soka Tanzania.Mbali…
LEO, Agosti 3, Azam FC imemalizana na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Tanzania Praisons, Ismail Aziz Kada, baada ya kufuzu vipimo vya afya na kusaini mkataba…
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba leo Agosti 3 amekabidhiwa zawadi ya Shilingi milioni moja pamoja na tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu…
KIKOSI cha Simba kimewasili leo jijini kikitokea Sumbawanga ambapo kilikuwa na mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC. Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1…
NA SALEH ALLY HUU ndio ule wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa soka nchini, kipindi cha usajili. Usajili umekuwa na kila aina…