admin
SIMBA YAFANYA KUFURU NYINGINE, EYMAEL AMTAJA MBAYA WAO YANGA
KESHO ndani ya Championi Jumatano usipange kukosa nakala yako
MWL .KASHASHA – YANGA WALIKOSEA HAPA TU..!!!
JUZI Jumapili, Yanga walipokea kipigo cha mabao 4-1 dhidi ya Simba katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), matokeo...
COASTAL UNION:BADO TUTAZIDI KUPAMBANA, KESHO WANA KIBARUA MBELE YA KAGERA SUGAR
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Klabu ya Coastal Union iliyo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda amesema kuwa watazidi kupambana ili kufikia malengo waliyojiwekea.Beki huyo...
AZAM FC NA SIMBA SC ZAGONGANA KWA NYOTA HUYU MWILI JUMBA...
INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Azam FC, Kipre Tchetche ambaye anakipiga kwa sasa soka la kulipwa nchini Malaysia yupo kwenye mazungumzo na mabosi...
BIASHARA UNITED YATAKA KUMALIZA BIASHARA IKIWA NDANI YA 10 BORA
BIASHARA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Francis Baraza leo ina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa...
SIMBA YATUMA UJUMBE WA KIBABE KWA NAMUNGO FC
LUIS Miqussone, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuona wanaendelea kupata ushindi Kwenye mechi ambazo zinafuata ikiwa ni pamoja...
LIPULI KAZINI LEO SAMORA MBELE YA KMC
LIPULI FC leo, Julai 14 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Samora,...
DUH!KUMBE SIMBA INGEFUNGWA NA YANGA HAJI MANARA ALIPANGA KUSEPA BONGO
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa iwapo ingetokea timu yake ingefungwa mbele ya Yanga, Julai 12 alikuwa amepanga kuhama nchi ya Tanzania...
BALAA LA LIGI KUU BARA KUENDELEA LEO, CHEKI RATIBA
KIVUMBI cha Ligi Kuu Bara kinaendelea Julai 15 leo ambapo timu sita zitakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu.Mambo yatakuwa namna hii:-Ruvu Shooting v Mwadui...
AZAM FC YATIA TIMU MOROGORO KAMILI GADO KUIVAA MTIBWA SUGAR
KIKOSI cha Azam FC kilicho chini ya Kocha Mkuu Arstica Cioaba raia wa Romania jana, Julai 14 kimewasili Morogoro ambapo kitakuwa na mchezo wa...