admin
COASTAL UNION YABANWA MBAVU DAKIKA 450 BILA KUAMBULIA POINTI TATU
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union ametumia dakika 450 kukiongoza kikosi chake kwenye mechi za Ligi Kuu Bara bila kuambulia pointi tatu huku...
ALIYEWAPA YANGA TABU UWANJA WA TAIFA KAMILI GADO KUWAVAA LEO KAITABA
KIUNGO mshambuliaji wa kikosi cha Kagera Sugar, Awesu Awesu leo anatarajiwa kuanza kwenye kikosi kitakachomenyana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa...
MTIBWA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA MBAO FC LEO
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa atapambana na Mbao FC iliyopamba moto ndani ya Ligi Kuu Bara kwa tahadhari ili kupata...
SIMBA YAINGIA ANGA ZA MTUPIAJI HUYU WA RWANDA, MKALI WA KUFUNGA...
UONGOZI wa Klabu ya Simba inatajwa kuwa upo kwenye mazungumzo na straika wa timu ya Kiyovu ya Rwanda, Mnigeria, Samson Babuwa.Simba baada ya kuwa...
MARIOO, UJUMBE WAKO HUU HAPA ULIACHWA NA MRESSY
MCHAKAMCHAKA mkubwa wa maisha ni kila siku mchana hata usiku lengo kubwa ikiwa ni kutafuta riziki kwa namna ambayo Mungu anajaalia.Wapo wengine ambao wanapambana...
LIGI KUU TANZANIA BARA KIVUMBI KINAENDELEA LEO, RATIBA YA MECHI HIZI...
Leo Julai 8, VPL ratiba yake ipo namna hii:-Mbao v Mtibwa, Uwanja wa Kirumba. Ndanda v JKT JKT Tanzania, Uwanja wa Nangwanda Sijaona. Mbeya City v...
RASMI..TSHISHIMBI NA JUMA ABDUL KUIKOSA SIMBA..!!
MAJERAHA yaliyowakumba wachezaji Juma Abdul na Papy Kabamba ‘Tshishimbi’ yanaweza kuiathiri timu hiyo kuelekea mchezo wao wa nusu fainali ya FA dhidi ya Simba...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
BIASHARA UNITED KESHO WANA JAMBO LAO PALE KARUME MBELE YA RUVU...
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kusaka ushindi mbele ya Ruvu Shooting. Mchezo huo utachezwa kesho Uwanja wa...