admin
SURE BOY AREJEA NDANI YA UWANJA
SALUM Abubakar 'Sure Boy',kiungo mzawa anayekipiga ndani ya Azam FC ameanza mazoezi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Aristica Cioaba.Sure Boy alianza mazoezi jana,...
VPL LEO HIZI HAPA ZINAKIWASHA KUSAKA POINTI TATU
LEO Julai 5Namungo FC v JKT Tanzania, Uwanja wa MajaliwaKagera v Ruvu Shooting, Uwanja wa Kaitaba.KMC v Mwadui, Uwanja wa Chamazi.Mbao v Lipuli, Uwanja...
FDL LEO MECHI ZAO ZIPO NAMNA HII
LEO Jumamosi, FDLPamba v MashujaaGwambina v Rhino RangersSahare All Stars v Stand UnitedMawenzi v Arusha FCGeita Gold v Green WarriorsIhefu v Friends RangersDodoma v...
YANGA HAINA PRESHA NA SIMBA, MIPANGO YAO IPO HIVI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael ameibuka na kusema kuwa hana presha na Simba kuwafuata katika hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la...
SIMBA YATOA TAMKO LA KIBABE KUHUSU YANGA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa alikuwa anataka akutane na Yanga, ndiyo sababu ya kuwafunga wapinzani wao.Simba iliifunga Azam Julai Mosi,...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
YAI LAIPONZA DODOMA FC YAKAMULIWA MKWANJA WA KUTOSHA, ALIYEMTEMEA MATE MWAMUZI...
TIMU ya Dodoma FC imepigwa faini ya shilingi laki mbili (200,000) kwa kosa la kugoma kuingia vyumbani baada ya kukuta yai limepasuliwa mbele ya...
GWAMBINA HUKU JUU KUNA ISHU YA KUSHUKA PIA, MIPANGO MUHIMU
USHINDANI mkubwa unaonekana kwenye timu ambazo zinapambana kusaka nafasi ya kushiriki Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 ndani ya Ligi Daraja la Kwanza,...
KWENYE KUNDI A AMBALO NI LA MOTO UMAKINI UNAHITAJIKA ZAIDI KUKWEPA...
NGOMA ikipigwa sana mwisho wake hupasuka hivyo katika kila jambo ambalo unalifanya kwa sasa ni lazima kuwa na kiasi ili uweza kuwa na usawa...
GUU LA KAGERE LAPATA TABU DAKIKA 208 NDANI YA UWANJA
MACHI 11 Uwanja wa Uhuru, Meddie Kagere alifunga bao dakika ya 71 wakati Simba ikishinda mabao 8-0 mbele ya Singida United kwa pasi ya...