Home Authors Posts by admin

admin

25373 POSTS 9 COMMENTS

NAMUNGO KUKIWASHA KESHO DHIDI YA JKT TANZANIA, TAMBO ZATAWALA

0
NAMUNGO FC iliyo chini Kocha Mkuu, Hitimana Thiery, kesho, Julai 4 itakuwa na kibarua cha kumenyana na JKT Tanzania inayonolewa na Abdallah Mohamed, 'Bares'...

ISHU YA MORRISON YAZUA SURA MPYA, AAMBIWA ASIWE MKUBWA KULIKO TIMU

0
ALLY Mayay, mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa Bernard Morrison hapaswi kuwa mkubwa kuliko timu hivyo lazima uongozi uweke usawa katika hili.Mayay amesema...

BAADA YA KUPEWA MILIONI 100 NA SportPesa, SIMBA WAAHIDI KUENDELEA KUTWAA...

0
KAMPUNI ya Burudani na Michezo, SportPesa Limited jana imewakabidhi Mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/2020, Simba hundi ya milioni 100 huku Mkuu...

KLOPP HATA HAELEWI KISA KICHAPO CHA MABAO 4-0 MBELE YA MANCHESTER...

0
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu England amesema kuwa haelewi kwa nini wachezaji walishindwa kuwa makini katika kufikiria...

SIMBA YAANZA SAFARI KUIFUATA NAMUNGO LEO

0
KLABU ya Simba imeanza safari leo, Julai 3, kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo utakaochezwa Uwanja wa...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa 

MORRISON ARUDISHWA NA TFF YANGA,SAFARI YA OKWI SIMBA DILI LIMEIVA, NDANI...

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa 

KESHO NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA

0
KESHO ndani ya Championi Ijumaa 

MUUAJI WA SIMBA AANZA KAZI LEO RASMI

0
BERNARD Morrison leo ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kwenye Uwanja wa wa chuo cha Sheria, Dar es Salaam. Morrison alikuwa kwenye mvutano na uongozi wa Yanga kuhusu...

RASMI JULAI 12 TAIFA SIMBA KUKINUKISHA NA YANGA BAADA YA KUMALIZANA...

0
BAADA ya Simba kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC,jana Julai Mosi, sasa rasmi itakutana na Yanga,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS