Home Authors Posts by admin

admin

25373 POSTS 9 COMMENTS

MOLINGA, KASEKE WAKIWASHA TAIFA WAKIIMALIZA KAGERA SUGAR MABAO 2-1, AWESU MUACHE...

0
YANGA leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Taifa.Kagera Sugar...

KIKOSI BORA CHA LIGI KUU BARA NI NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
KESHO ndani ya Championi Jumatano, usikubali kukosa nakala yako

KUHUSU YANGA..BOCCO AMGOMEA BOSS WA GSM..!!!

0
NAHODHA wa Simba, John Bocco, amemgomea Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga, Mhandisi Hersi Said, juu ya tiketi...

LIVE:YANGA 0-1 KAGERA SUGAR

0
UWANJA waTaifaDakika ya 45 zinakamilika zinaongezwa dakika 2Dakika ya 44 Luhende anafanya jaribio linakwenda juu kidogoDakika ya 43 Kaseke anachezewa faulo ndani ya 18Dakika...

KIKOSI CHA KAGERA SUGAR LEO DHIDI YA YANGA,TAIFA

0
Kikosi cha Kagera Sugar leo dhidi ya Yanga, Uwanja wa Taifa

NAMUNGO HAO WATINGA HATUA YA NUSU FAINALI, MAKANG’A ATUPIA BONGE MOJA...

0
TIMU ya Namungo FC inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery, leo, Juni 30, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Alliance FC kwenye...

ANGALIA SIMBA ILIVYOBEBA KWA UBINGWA WA GD TU, JIFUNZE…

0
Na SALEH ALLYSIMBA amekuwa bingwa tangu juzi Jumamosi ingawa wengi hawakuwa wameling’amua hili mapema kwa kuwa walisubiri kuiona ikicheza mechi yake ya jana dhidi...

UONGOZI WA SIMBA WAIPIGIA HESABU NDEFU AZAM FC KESHO TAIFA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa unautazama mchezo wa kesho wa hatua ya robo fainali kwa upekee licha ya wachezaji wake kutoka kupambana mechi mbili...

MINZIRO ATAMBA KUWA ANGEANZA KUINOA MBAO MAPEMA ISINGEKUWA KWENYE PRESHA YA...

0
FELIX Miziro, Kocha Mkuu wa Mbao FC amesema kuwa angekuwa kwenye kikosi hicho tangu awali timu hiyo isingepata tabu ya kuwa  kwenye presha ya...

PUPA NA KUKOSA WATAALAMU SAHIHI, KUMEIFIKISHA YANGA HAPA KATIKA USAJILI

0
NA SALEH ALLYTIMU ya Yanga ni kati ya zile kubwa na kongwe zaidi hapa nchini.Hii ni kati ya timu zile za mwanzoni kabisa kwenye...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS