admin
HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR...
Metacha MnataJuma AbdulJafary MohamedLamine MoroSaid Juma MakapuAbdulaziz Makame Deus KasekeFeisal SalumDavid MolingaHaruna NiyozimaDitram NchimbiSUBFarouk ShikhaloAdeyum SalehKelvin YondaniRaphael DaudMrisho NgassaPatrick SibomanaTariq Seif
MANCHESTER UNITED YAGOMA KUTOA DAU KUBWA KUMPATA SANCHO
MANCHESTER United, imesema kuwa haipo tayari kutoa dau la zaidi ya paundi milioni 50 kupata saini ya Jadon Sancho anayekipiga ndani ya Borussia Dortmund.Klabu...
SIMBA YAIPANGIA AZAM FC KIKOSI KAZI NAMNA HII
IKIWA kesho wanakutana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali, Uongozi wa Simba umepanga kikosi kazi cha Azam FC ambacho ni...
ALLIANCE KAZI KUBWA LEO NA NAMUNGO ROBO FAINALI
TIMU ya Alliance FC, leo inamenyana na Klabu ya Namungo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo...
YANGA YAPANIA KULIPA KISASI KWA KAGERA SUGAR TAIFA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa anaamini wachezaji wake watalipa kisasi cha kufungwa mabao 3-0 na Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi...
WERNER AKUBALI KUSAINI CHELSEA, MANCHESTER UNITED NA LIVERPOOL KWA VIGEZO
TIMO Werner nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya RB Leipzig inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga amesema kuwa anaweza kusaini kwenye...
HAPA NDIPO ILIPO MTIBWA SUGAR
MTIBWA Sugar iliyo chini ya Kocha Mkuu, Zuber Katwila ikiwa imecheza jumla ya mechi 32 kibindoni ina pointi 37.Safu yake ya ulinzi inayoongozwa na...
MOTO WA KUNDI A ACHA KABISA, CHEKI NAMNA VITA ILIVYO TAMU
MSIMAMO wa Kundi A wa Ligi Daraja la Kwanza, vita kubwa ni nafasi ya kupanda daraja jumlajumla ambapo Dodoma FC na Ihefu zote zinalingana...
SAMATTA MAJI YA SHINGO ASTON VILLA
JAHAZI la chama la Mbwana Samatta la Aston Villa kwenye Ligi Kuu ya England (EPL) linazidi kuzama baada ya Juni 27 kuchezea kichapo kingine...