admin
HAWA NDIO SINGIDA UNITED, MWANA KULITAKA, MWANA KULITAFUTA
UNAPOITAJA Singida United, kwenye maskio ya wanamichezo kwa wakati huu picha kubwa ambayo inawajia ni kuporomoka ghafla kwa timu hiyo yenye maskani yake mkoani...
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA MWADUI FC
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mechi zote zilizobaki ikiwa ni pamoja na ile ya...
BUSUNGU AFUNGUKIA USAJILI WAKE YANGA
MALIM Busungu, mchezaji wa zamani wa Yanga amesema kuwa amekuwa akiskia taarifa zake za kutakiwa na Yanga jambo ambalo limekuwa likimpa usumbufu kutoka kwa...
PICHA ZIMA LA JKT TANZANIA V YANGA LILIKUWA NAMNA HII
PATRICK Sibomana, mshambuliaji wa Yanga, jana alipindua meza kibabe kwa kufunga bao la kusawazisha mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...
AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa unajiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa Taifa,...
ARSENAL BADO INA MATUMAINI
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa licha ya kupokea kichapo cha mabao 3-0 mbele ya Manchester City ana imani kikosi chake kitarejea...
PAMBA SC YAAHIDI KUENDELEA KUTOA SAPOTI ZAIDI KWENYE MICHEZO
UONGOZI wa Pamba SC umesema kuwa utaendelea kutoa sapoti kwenye Academy za nchini Tanzania kwa kuwa wanatambua malengo yao ni kukuza vipaji.Akizungumza na Salehe...
EXCLUSIVE: MORRISON ANASEPA YANGA,SVEN ATAKA MABAO YA MITA 20, NDANI YA...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi, usikose nakala yako
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi ya jana kati ya JKT Tanzania na Yanga upo namna hii