admin
YANGA KAMILI GADO KUVAANA NA JKT TANZANIA
BAADA ya kusepa na pointi tatu mbele ya Mwadui FC kwa ushindi wa bao 1-0, tayari Yanga imeanza kujiandaa kwa ajili ya mchezo wake...
RASMI NYOTA WA YANGA ATEMWA MAZIMA
UONGOZI wa Azam FC umethibiisha kuachana rasmi na nyota wa zamani wa Yanga, Donald Ngoma, baada ya mkataba wake kufikia ukingoni Juni 14.Ngoma alijiunga...
BURUDANI IMEREJEA KWA SASA NI LALA SALAMA, TIMU ZIJIPANGE KUPATA MATOKEO...
JUNI 13 masuala ya ligi tumeshuhudia yakiendelea pale ambapo yalikuwa yameishia baada ya kusimama kwa muda wa zaidi ya miezi miwili kwenye ardhi ya...
KIKOSI KAZI CHA NYOTA WA YANGA KINA NYOTA WAWILI KUTOKA SIMBA
DEUS Kaseke mshambuliaji wa Yanga amepanga kikosi chake cha kwanza ambacho anaamini kitampa ushindi ndani ya dakika 90.Kwenye kosi hilo la kazi yeye pia...
YANGA YASITISHA MKATABA WA KATIBU RUHANGO
KLABU ya Yanga imefika makubaliano ya kusitisha ajira ya Dr.David Luhago aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu hiyo.Taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa Yanga imeeleza...
TUENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI TUINGIAPO UWANJANI ILI BURUDANI IENDELEE
USIRUHUSU mwili wako ukachoka ilihali una nguvu ya kupambana katika tatizo ambalo upo nalo kwa wakati huo lazima utafute njia nzuri ya kukutoa kwenye...
MAJEMBE YA KAZI AZAM FC YARUDI KUIWAHI SIMBA, SASA KAZI IPO
MAJEMBE ya kazi yanayokipiga ndani ya kikosi cha Azam FC yameanza kushuka Bongo taratibu.Leo Juni 15, wachezaji wawili kutoka Zimbabwe, beki wa kushoto, Bruce...
SASA MANCHESTER UNITED YAMGEUKIA BOSI WA SAMATTA
MANCHESTER United, inaripotiwa kuwa imeongeza nguvu kubwa kwa sasa kumpata nahodha wa Klabu ya Aston Villa ya Mbwana Samatta, Jack Grealish baada ya kuambiwa...