admin
MANCHESTER UNITED, CHELSEA KUAMBULIA PATUPU KWA SANCHO
KLABU ya Borussia Dortmund inayommiliki nyota Jadon Sancho anayehusishwa kujiunga na Manchester United imesema kuwa nyota huyo haondoki.Dortmund imesisitiza kwa msisitizo kwamba Manchester United,...
BERNARD MORRISON AKIRI ALIPOKEA FEDHA KUTOKA SIMBA
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa alifuatwa na viongozi wa Simba ambao walikuwa wakimshawishi kumpa mkataba ili atue ndani ya klabu yao.Morrison...
MIRAJI AINGIA KATIKA REKODI
MIRAJ Athumani, ameingia kwenye rekodi kuwa mchezaji wa kwanza wa Simba kufanyiwa mabadiliko ya nne kwa mara ya kwanza katika Klabu ya Simba.Kabla ya...
MNYARWANDA ANAYETAJWA KUWINDWA NA YANGA AWAAGA MASHABIKI RASMI
KIUNGO Fabrice Mugheni, amewaaga rasmi mashabiki wa timu yake ya Rayon Sports ya Rwanda kuwa anaondoka mwishoni mwa msimu huu. Fabrice aliwahi kusema kuwa aliombwa...
YANGA YATANGAZA MASHINE MPYA 5, SVEN AJA NA MIKAKATI MIPYA, NDANI...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MASAU BWIRE: ILIBIDI TUWAFUNGE SIMBA MABAO 8-0, BAHATI YAO
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa jana iliwabidi wawachape mabao 8-0 Simba ila bahati haikuwa yao.Ruvu Shooting ililazimisha sare ya kufungana...
SIMBA NA YANGA ZAGONGANA KWA NYOTA HAWA WAKAZI
INAELEZWA kuwa msimu ujao Klabu ya Namungo itakuwa na kazi ya kusuka kikosi chake upya kutokana na mitambo yake mitatu ya kazi kwa sasa...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
Msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mechi mbili za jana, Juni 14 upo namna hii
MASHINE HATARI YASAINI YANGA, SVEN AJA NA MIKAKATI MIZITO, KESHO NDANI...
KESHO ndani ya Championi Jumatatu usikubali kukosa nakala yako