admin
GSM NA YANGA WAMEFIKIA HAPA KWA SASA, UONGOZI WAFUNGUKA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa Kampuni ya GSM itaendelea kufanya nao kazi kwa kufuata masharti yale yaliyopo kwenye mkataba.Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Dr.Mshindo...
HIKI NDICHO KITAKACHOMRUDISHA OKWI NDANI YA SIMBA TENA
EMMANUEL Okwi nyota wa zamani wa Simba anayekipiga ndani ya Klabu ya Al Ittihad anatajwa kurudi Bongo baada ya mambo kuwa magumu nchini Misri.Nyota...
ROMA YANOGEWA NA HUDUMA YA SMALLIG YAITAKA SAINI YAKE
CHRIS Smalling anayekipiga ndani ya Roma kwa mkopo akitokea katika Manchester United inasemekana Man U inampango wa kumrejesha msimu ujao.Mabosi wa Roma tayari nao...
DAU LA BEKI ANAYEWINDWA NA SIMBA NI PASUA KICHWA
INAELEZWA kuwa dau la nyota wa Coastal Union, Bakari Nondo ni zaidi ya milion 90 kutokana na uwezo wake alionao ndani ya Ligi Kuu...
NAMNA METACHA MNATA ALIVYOTIBIWA KIDOLE CHAKE NA YULE MAMA MWENYE MIUJIZA
Nilielezea namna ambavyo nilicheza kwa wikimbili mfululizo huku kidole changu kikiwakimevunjika.Sikuwa nimejua kama kidole kimevunjika lakinimuda wote wa wiki mbili nilicheza nikiwa namaumivu makali...
METACHA AMPONGEZA KAGERE, ASEMA ALIMZIDI UJANJA LAKINI IKAWA BAHATI
JUZI Jumatatu nilielezea namna ambavyo nilishindwa kuendelea kucheza na kidole kilichovunjika na kulazimika kusema na matibabu yakaanza kupitia yule mama ambaye hakuwa akitumia tiba...
MCHONGO WA NDINGA MPYA UMEFIKIA PATAMU, NI RAHISI SANA NUNUA CHAMPIONI...
Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kinyrezi, Tabata migombani na maeneo mengine wameendelea kujaza kuponi kwa ajili ya...
WACHEZAJI WA LIGI KUU ENGLAND WAUNDA UMOJA WAO KUPAMBANA NA CORONA
WACHEZAJI wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wameunda umoja wao ambao una malengo ya kukusanya fedha kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kupambana na...
HATMA YA KICHUYA,NDEMLA, AJIBU NDANI YA SIMBA IPO HIVI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hatma ya wachezaji wote ndani ya kikosi hicho ni pale ambapo Ligi Kuu Bara itakamilika ndipo watataja wale watakaochwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, NAFASI YA...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi