admin
JIPATIE NAKALA YAKO YA BETIKA BURE KABISA
Gazeti la BETIKA lipo mtaani Jumatano hii, hili ni gazeti la bure yaani haliuzwi, fika popote kwa muuzaji wa magazeti utajipatia nakala yako bila...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
DILI LA KAGERE KUIBUKIA HISPANIA LIMEKAA HIVI
WAKALA wa straika wa Simba, Meddie Kagere, Patrick Gakumba, amefunguka kwamba dili la straika wake kutakiwa na klabu ya Hispania limekuwepo na kitu pekee...
BARCELONA HAWAPOI, WAKIMKOSA LAUTARO BASI MBADALA WAKE NI ISAK
KLABU ya Barcelona imejipanga kufanya maamuzi magumu endapo tu itashindwa kufanikiwa kumpata staa wa Inter Milan, Lautaro Martinez basi itageukia kwa Real Sociedad kwa...
WACHEZAJI WA SIMBA WAFUNGUKA A-Z WALIVYOPOTEZA FAINAL YA CAF 1993..WAMTAJA DEWJI...
LICHA ya miaka 27 kupita, kovu la kipigo cha mabao 2-0 cha Simba dhidi ya Stella Abdijan ya Ivory Coast kwenye fainali ya CAF...
WAKALA – SIMBA WALIKATAA MILIONI 500 ZA SAMATTA
WAKALA wa kimataifa wa soka nchini, Ally Saleh amefichua kuwa nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ana nafasi kubwa ya kubaki katika Ligi Kuu...
YANGA YA GSM NI MOTO WA KUOTEA MBALI.. VIFAA VIPYA KUTOKA...
KOCHA wa Yanga, Luc Aymael, amewaambia viongozi kwamba katika vitu ambavyo anataka msimu ujao ni kuona timu hiyo ikicheza mpira wa kasi na pasi...
SIMBA WAJANJA KWELI WAMUWAHI YULE MTUPIAJI ALIYEKUWA ANAWINDWA NA YANGA
INAELEZWA kuwa Uongozi wa Simba umeamua kumalizana na mchezaji wao Deo Kanda ambaye alikuwa kwenye hesabu za kutua ndani ya Yanga msimu ujao.Kanda ambaye...
AZAM COMPLEX SASA MAMBO SAFI, YAINGIA ANGA ZA TP MAZEMBE
HATIMAYE ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex, umekamilika kwa asilimia 100.Uwanja huo ulikuwa unafanyiwa ukarabati ambapo nyasi zote zilifumuliwa na kuanza kuwekwa upya kabisa...
JEMBE ANAAMINI KWAMBA KUTOBOA KWA SAMATTA KUMEFUNGUA NJIA KWA WAZAWA WENGINE...
KUTOKANA na wachezaji wengi wazawa kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi jambo hilo linatoa mwanga kwa wengine kuhitaji kupata nafasi ya kwenda kukipiga...