admin
SIMBA YAIPOTEZA MAZIMA YANGA
SAFU ya ushambuliaji ya Simba iliyo chini ya Meddie Kagere imevunja rekodi ya mabao yaliyofungwa na Yanga msimu uliopita 2018/19.Yanga ilimaliza Ligi ikiwa imefunga...
HIMID MAO: VIWANJA VYA NDEGE VIMEFUNGWA KWA SASA HAKUNA RUHUSA YA...
HIMID Mao, anayekipiga ndani ya ENPPI ya Misri amesema kuwa kutokana na Virusi vya Corona wamejifungia ndani na hakuna ruhusa ya kuondoka ndani ya...
CHAMA AKINUKISHA NDANI YA SIMBA, YUPO ZAKE ZAMBIA KWA SASA
IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Clatous Chama amegoma kuongeza kandarasi ndani ya klabu yake hiyo kwa ajili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo.Uongozi wa Simba...
JOSE MOURINHO ATOA SAPOTI KWA WAZEE WALIOPO KARANTINI
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham ametoa msaada wa chakula kwa wazee wa kituo cha Your Door Step kilichopo Enfield.Kocha huyo wa Tottenham aliwatembelea...
WAKALI WA KUTUPIA MABAO 11 WOTE NI WAZAWA, WAWILI WANA KITAMBAA...
KWA wachezaji walio kwenye mwendo wa kutupia mabao 11 ni watatu na wote ni wazawa ambapo wawili kwenye timu zao ni manahodha.Paul Nonga anakipiga...
ASTON VILLA INA KAZI YA KUFANYA LIGI KUU ENGLAND ITAKAPOREJEA
ASTON Villa, klabu anayokipiga Mbwana Samatta nahodha wa Tanzania ndani ya Ligi Kuu England imejikusanyia pointi 25 baada ya kucheza mechi 28.Villa imefunga jumla...
NYONI SASA KUUNGANA NA WACHEZAJI WENZAKE BAADA YA MAPUMZIKO KUISHA
BEKI mkongwe ndani ya Klabu ya Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa anaamini kuwa atajumuika na wachezaji wenzake kwenye mazoezi ya pamoja baada ya mapumziko...
KOCHA NAMUNGO AWAPA PROGRAMU MAALUMU WACHEZAJI WAKE
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa amewapa programu wachezaji wake wakati huu wa mapumziko ili kuona wanalinda vipaji vyao.Namungo ya Ruangwa inashiriki...
WACHEZAJI WA MTIBWA SUGAR WAPEWA KAZI YA KUWA MABALOZI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umewataka wachezaji wao kuwa mabalozi wazuri kipindi hiki cha mapumziko maaalumu kwa ajili ya kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Ligi...
WACHEZAJI LIGI KUU BARA WAPEWA DARASA NAMNA YA KULINDA VIPAJI VYAO
NADIR Haroub, 'Cannavaro', Meneja wa timu ya Taifa ya Tanzania amewapa darasa wachezaji wanaokipiga Ligi Kuu Bara kuacha kubweteka kipindi hiki ambapo ligi imesimama...