admin
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani una nafasi ya kujishindia ndinga
KOCHA LIVERPOOL ATAJA KINACHOMBEBA SALAH
MOHAMED Salah Hamed Mahrous Ghaly ndio jina lake huyu nyota anayekipiga ndani ya Liverpool akiwa ni raia wa Misri na anakipiga pia kwenye timu...
HUYU HAPA ANAMKIMBIZA CR 7 KWA MTINDO HUU
SERIE A Ligi Kuu ya Italia kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Mpaka inasimama vinara wao kwa utupiaji huku Ciro akimkimbiza Cr...
AZAM FC YAMTAKA BOCCO KUREJEA NYUMBANI
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ni wakati wa nahodha wa Simba, John Bocco kurejea Azam FC kwa kuwa ndio maskani yake ilipo.Bocco alijiunga...
KIUNGO MPYA WA AZAM FC APEWA PROGRAMU YAKE ILI KUFANYA MAKUBWA
KLABU ya soka ya Azam imempatia programu maalumu ya mazoezi mchezaji wake aliyesajiliwa katika dirisha dogo la mwezi Januari, Khleffin Hamdoun ili kuzoea utamaduni...
DITRAM NCHIMBI: NINACHUKUA TAHADHARI YA CORONA NA KULINDA KIPAJI
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa anaendelea na programu aliyopewa na Kocha Mkuu Luc Eymael ili kulinda kipaji chake.Ligi Kuu Bara...
HAWA HAPA WANAHUSIKA KWENYE MABAO YA MUUAJI WA SIMBA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mabao yake yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na dua maalum ambazo zinafanywa na mke wake pamoja na...
MKHITARYAN HUENDA AKASEPA NDANI YA ARSENAL
HENRIKH Mkhitaryan nyota wa timu ya Arsenal anayekipiga ndani ya Klabu ya Roma kwa mkopo huenda akabaki jumla kikosini humo iwapo watamhitaji.Nyota huyo mwenye...
MKALI WA PASI ZA MWISHO YANGA AFICHUA KILICHO NYUMA YA KUPETA...
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amehusika kwenye mabao matano kati ya 31 yaliyofungwa na Yanga kwenye Ligi Kuu Bara.Abdul ametoa pasi tano ndani...