admin
YANGA: HATUKUWA NA PRESHA NA SIMBA TULIJUA HAWATATUSUMBUA NDIO MAANA TUMEWAKALISHA
JAFFARY Mohamed, beki kiraka wa Yanga amesema kuwa hakuwa na presha alivyopangwa kucheza na Simba kutokana na kuamini uwezo wake na kuwajua wapinzani wake...
NYOTA AZAM FC ACHEKELEA MAISHA YAKE KWA SASA, APANIA MAKUBWA
NYOTA wa Azam FC, Andrew Simchimba amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi hicho na ataendelea kuonyesha juhudi ili kufikia malengo aliyojiwekea yeye pamoja...
SIMBA HAINA DOGO, YAWAPOTEZA MAKOCHA WAWILI BONGO MATATA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amewapoteza makocha wenzake wawili ndani ya Ligi Kuu Bara ndani ya mwezi Februari alioingia nao kwenye kuwania tuzo...
HIVI HAPA VIGONGO 11 VYA SIMBA MZUNGUKO WA PILI NDANI YA...
BAADA ya Simba kunyooshwa na watani zao wa jadi Yanga, Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa bao 1-0 wamebakiwa na kete 11 mkononi kukamilisha...
MBWANA SAMATTA NA ASTON VILLA YAKE MAJANGA MATUPU HUKO ULAYA
KWENYE mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa King Power kati ya Leicester City dhidi ya Aston Villa usiku wa kuamkia leo mambo...
KANE HESABU ZAKE KUTUA MANCHESTER UNITED
HARRY Kane, straika wa timu ya Tottenham iliyo chini ya Kocha Mkuu, Jose Mourinho yupo kwenye mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo.Inaelezwa kuwa...
KOCHA ARSENAL AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE
MIKEL Arteta Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa wakicheza kwenye kiwango anachokipenda.Arteta amekuwa akiwatumia makinda kwenye mechi za hivi karibuni na...
BAADA YA KICHAPO TAIFA KUTOKA KWA YANGA, SIMBA WATOA TAMKO
VerifiedBAADA ya Simba jana kuambulia kichapo cha bao 1-0 mbele ya Yanga Uongozi umewataka mashabiki kutulia na kukubali matokeo yaliyotokea.Ofisa Habari wa Simba Haji...
REAL MADRID YAISHIA KUPOKEA KICHAPO KUTOKA KWA REAL BETIS
NYOTA wa zamani wa Barcelona, Cristian Tello ameipa nafasi timu yake ya zamani kubaki namba moja kwenye msimamo wa La Liga baada ya kuifungia...
MUUAJI WA SIMBA ATOA NENO LAKE LA MOYONI
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa alichokifanya mbele ya Simba ni sehemu ya kitu anachokipenda na imetokana na sapoti ya mashabiki kujitokeza...