admin
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA BAADA YA MNYAMA KUTULIZWA TAIFA
MSIMAMO wa LIGI Kuu Bara baada ya Mnyama kupokea kichapo cha bao 1-0 mbele ya Yanga, Jana Machi 8,2020
SIMBA YATAJA KILICHOWAPONZA KUNYOOSHWA BAO 1-0 NA YANGA
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa kilichowaponza kushindwa kusepa na pointi tatu jana Machi 8,2020 mbele ya Yanga ni kutokuwa makini kuzitumia nafasi...
MANCHESTER UNITED YAISAFISHIA NJIA LIVERPOOL KUTWAA UBINGWA
KICHAPO alichopokea Kocha Mkuu wa Manchester City Pep Guardiola cha mabao 2-0 mbele ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja...
JEURI KWISHA, NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU UKINUNUA NDINGA MPYA INAKUHUSU
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu ambalo ukinunua una nafasi ya kushinda ndinga mpya kabisa
YANGA BABA LAO YAITUNGUA SIMBA YENYEWE YA KAGERE 1-0
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga leo ametenda kazi yake iliyomleta Bongo kwa kuifunga Simba bao 1-0 kwenye mchezo wa mzunguko wa pili uliochezwa...
VPL:YANGA 0-0 SIMBA
Uwanja wa Taifa: Yanga 0-0 SimbaKipindi cha kwanzaDakika ya 26 Jonas Mkude anaonyeshwa kadi ya njano Dakika ya 22 Erasto Nyoni anakwenda nje anaingia Kened...
KIKOSI CHA YANGA V SIMBA LEO TAIFA, METACHA NDANI
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Machi 8, Uwanja wa Taifa
KIKOSI CHA SIMBA V YANGA LEO TAIFA, MANULA NDANI
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo Machi 8, dhidi ya Yanga Uwanja wa Taifa
SIMBA YATIA TIMU TAIFA
KIKOSI cha Simba kimetia timu Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa leo, Machi 8...