admin
YANGA: HATUNA HOFU, TUPO TAYARI KUICHAPA SIMBA
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wao wa kesho, Machi 8 dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Taifa kutokana na mipango...
CIOABA NA MINZIRO KWENYE MTIHANI MWINGINE LEO TAIFA
AZAM FC, iliyo chini ya Arstica Ciaoba, leo ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa...
SIMBA: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA
BEKI Kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa wanapiga hesabu kubwa kuona namna gani watashinda mchezo wao mbele ya Yanga utakaochezwa Machi 8,2020 Uwanja...
SPURS YAHAHA KUMBAKIZA KANE NDANI YA KIKOSI
HARRY Kane nyota wa timu ya Spurs inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kusepa ndani ya klabu hiyo kwenye majira ya joto.Mabosi wa timu...
YANGA V SIMBA, HUYU ANASHIIKILIA REKODI YA KUWATUNGUA WAPINZANI WAO MACHI...
KESHO Machi 8 2020, Uwanja wa Taifa,Simba itakuwa ugenini ikicheza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga.Simba ipo chini ya Mbelgiji Sven...
JOKATE AWAITA MASHABIKI WA YANGA TAIFA WAKAIMALIZE SIMBA
Na Mwandishi wetuMMOJA wa wapenzi maarufu wa Yanga,Ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegello, amewataka wenzake wapenzi wa timu hiyo kujitokeza...
MECHI TANO ZA MWISHO, ZINAIAMUA DABI YA KARIAKOO NAMNA HII
Na Saleh AllyGUMZO la Dabi ya Kariakoo limerejea tena, kila mmoja anajua anachokiamini na anazungumza anachoona ndio sahihi.Nani atashinda? Ni suala lenye maswali mengi...
AHADI ZA FEDHA KWA WACHEZAJI YANGA VS SIMBA NI KUONYESHA TUMEPITWA...
NA SALEH ALLYWAPENDA soka lazima watakwenda Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakiwa na mambo mengi kichwani tayari kuishuhudia mechi ya watani wa...
JINA LA KIPA NAMBA MOJA YANGA ATAKAYEOKOA MICHOMO YA KAGERE LIMEVUJA
IMEELEZWA kuwa kuna nafasi kubwa ya nyota wa Yanga Farouk Shikalo kukaa langoni kwa mara ya pili kuokoa micho ya washambuliaji wa Simba wakiongozwa...
GEITA GOLD WAPANIA KUSHIRIKI LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Geita Gold, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umesema kuwa mipango yao ni kuona wanatimiza malengo yao ya kupanda Ligi Kuu Bara msimu...