admin
NYOTA SPURS AWAFUATA MASHABIKI NA KUZOZANA NAO
NYOTA wa kikosi cha Tottenham Spurs, Eric Dier, usiku wa kumkia leo aliwafuata mashabiki na kuzozana nao baada ya timu yake kutolewa kwenye mchezo...
SPIDI YA NAMUNGO INASTAHILI PONGEZI LAKINI KAMA KUNA MCHANGANYO WA SIASA...
TIMU ya Namungo inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imekuwa ni moto wa kutokea mbali kwa timu ambazo zimepanda daraja msimu huu.Kocha Mkuu wa timu...
AZAM FC YAKWAMA KUFUTA UTEJA KWA SIMBA, SASA NGUVU ZA SIMBA...
AZAM FC jana imeshindwa kufuta uteja wake wa msimu wa 2019/20 mbele ya Simba kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 Uwanja wa Taifa.Kwenye mchezo...
ISHU YA NIDHAMU KWA WACHEZAJI INAPASWA IANZIE NDANI YA TIMU KABLA...
MATUKIO mazuri na mabaya kwenye soka kila siku yanatokea huku yale mazuri yakipewa kipaumbele kikubwa kuzungumziwa na timu ama mashabiki kuonyesha kwamba ni namna...
KICHWA CHA SAMATTA NA KITUE KWENYE AKILI ZA WACHEZAJI WETU BONGO
MBWANA Samatta nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania ameweka rekodi mpya kwenye ulimwengu wa soka duniani kwa kucheza mchezo wa kwanza wa Kombe...
NYOTA CHELSEA AGOMEA DILI LA KUTUA JUVE KISA KUHOFIA KUSHUKA KIWANGO
JUVENTUS imepanga kumshusha kikosini winga wa Chelsea Willian Borges da Silva, lakini nyota huyo wa Brazil amegomea dili hiloInaelezwa kuwa nyota huyo hataki kujiunga...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii baada ya mechi za jana kuchezwa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamis upo namna hii
SIMBA WAJIPIGIA AZAM FC MABAO 3-2, YASEPA NA POINTI TATU, CHIRWA...
SIMBA leo imemalizana na Azam FC kwa ushindi wa mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa.Azam FC iliyo chini...