Home Authors Posts by admin

admin

24382 POSTS 9 COMMENTS

MEDDIE KAGERE AFIKIRIA MAAMUZI MENGINE JUU YA SIMBA

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa hana habari na tuzo ya mfungaji bora ila anachotazama ni rekodi mpya kwa timu yake kutwaa taji...

BABA SAMATTA AIBUKA NA UJUMBE MWINGINE KWA MWANAYE

0
MZAZI wa mshambuliaji wa Aston Villa ya nchini Uingereza, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta, amemtaka kijana wake huyo abadili mwenendo katika klabu yake hiyo...

SVEN AFUNGUKA KILICHOMFURAHISHA SIMBA

0
KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema ameanza kuona faida ya mabadiliko ya kikosi kwenye mchezo uliopita baada ya kujaribu kumpatia nafasi kila mchezaji kuonesha...

NYIE SI MNA MGHANA, SASA SISI TUNAYE HUYU

0
MASHABIKI wa Simba ambao juzi walijitokeza katika Uwanja wa Taifa, Dar, walikuwa na kazi moja tu ya kuwajibu wenzao wa Yanga kuwa ‘Nyie mna...

POLISI, PRISONS ZANUFAIKA NA MVUA

0
TIMU ya Tanzania Prisons ya Mbeya na Polisi Tanzania zinazomilikiwa na Wizara ya Mambo ya Ndani, wiki hii zimefanikiwa kuondoka na ushindi kwenye mechi...

HAJI MANARA WA SIMBA ALA DILI AZAM MEDIA

0
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amepata dili la kuwa balozi wa bidhaa za Azam Media na Influencer (Mtu wa ushawishi kwenye mitandao) wa La...

MOURINHO ABEBA MATUMAINI KIBAO KWA NYOTA WAKE MPYA NDANI YA SPURS

0
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa anaamini nyota wake mpya, Steven Bergwijn ataonyesha makubwa mbele ndani ya timu yake.Raia huyo wa Netherlands...

SIMBA V POLISI TANZANIA, TAMBO ZATAWALA

0
SIMBA kesho itashuka Uwanja wa Taifa kumenyana na Polisi Tanzania mchezo wa Ligi Kuu Bara.Mchezo huo utakuwa wa 19 kwa Simba kukamilisha mzunguko wa...

MORRISON BALAA ALILOFANYIWA JANA TAIFA NA MTIBWA SUGAR WE ACHA TU

0
BERNARD Morrison alikutana na balaa zito uwanjani jana, Februari,3 wakati timu yake ikshinda bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Taifa.Bao pekee la...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS