Home Authors Posts by admin

admin

24382 POSTS 9 COMMENTS

MBWANA SAMATTA ATUMA UJUMBE HUU KWA WATANZANIA

0
MSHAMBULIAJI wa timu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England, Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya Tanzania ametuma ujumbe huu kwa mashabiki...

KUPITIA GREALISH, WATANZANIA TUNAMUIABISHA SAMATTA KWA KUWA TUNA FIKRA ZA KI-LIGI...

0
Na Saleh AllyKOCHA Dean Smith wa Aston Villa, aliamua kufanya mabadiliko ya mapema katika dakika ya 58 katika mechi dhidi ya Bournemouth wakiwa nyuma...

BAADA YA KUBANWA MBAVU SASA AZAM FC KUGEUKIA UPANDE HUU

0
BAADA ya kubwanwa mbavu na Mbeya City kwa kufungana bao 1-1 Uongozi wa Azam FC umesema kuwa sio mbaya kwa kuwa ilikuwa ni mechi...

NYOTA WA KAGERA SUGAR AWEKA REKODI YA KUSEPA NA MPIRA BONGO

0
KELVIN Sabato mshambuliaji wa Kagera Sugar amekuwa mshambuliaji wa kwanza ndani ya mwaka 2020 kusepa na mpira wake kwenye mechi za Ligi Kuu Bara...

TUSIIUE HOJA YA MSINGI KWA KISINGIZIO SIMBA INAPENDELWA…

0
NA SALEH ALLYNATAKA niende moja kwa moja kuwa nimekuwa nikikerwa na propaganda zinazoenezwa na baadhi ya watu ambao ninaamini wameshindwa mambo.Mjadala huu unachombezwa na...

MABINGWA WATETEZI CITY MAMBO BADO, SPURS YAWAFANYIA BALAA

0
STEVEN Bergwijn, nyota wa Spurs alifungulia balaa la mabao mbele ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliomuacha Pep Guardiola akiziacha pointi...

CHONDE CHONDE, TUNAMUABISHA SAMATTA

0
Hali inazidi kuwa mbaya na hatari ya utandawazi inaonekana maana leo hii mashabiki wa soka nyumbani Tanzania wanaweza kuwasiliana moja kwa moja na klabu...

YONDANI KUITEMA YANGA, UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA CHAMPIONI LEO...

0
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu.

NAMNA FIFA ILIVYOINGILIA USAJILI WA MIQIUSSONE SIMBA

0
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limemtaka kiungo wa Simba, Luis Jose Miquissone kuwaandika barua ya kuchagua wapi anataka kucheza kati ya Simba na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS