admin
MZUNGU WA SIMBA AFICHUA SIRI YA MABAO 3-0, WACHEZAJI WATAJWA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kilichoibeba Simba jana, Februari 11, mbele ya Mtibwa Sugar ni kujituma kwa wachezaji wake.Simba jana ilishinda...
NAHODHA WA MBWANA SAMATTA BADO ANAMPASUA KICHWA SOLSJKAJER
OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United inaripotiwa kuwa yupo siriazi kuipata saini ya nyota wa Aston Villa, Jack Grealish ili kuongeza makali...
GAZETI LA BETIKA LIPO MTAANI LEO, JIPATIKE NAKALA YAKO BURE KABISA
GAZETI la BETIKA ni bure lipo mtaani, jipatie nakala yako
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
SVEN APIGA STOP SIMBA
Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa, amepiga mkwara kwamba kikosi hicho kinachoongozwa na kocha Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, kwa sasa hakitakiwi kupoteza pointi yoyote kwenye...
KOCHA YANGA AIBUKA TENA NA TAMKO LA AINA YAKE, AONESHA KUSHANGAZWA
LUC Eymael ambaye ni kocha mkuu wa Yanga, ameshangazwa na jinsi mwenendo wa ratiba yao ya ligi ambapo ameweka wazi kwamba hata Ulaya kwenye...
YANGA KUMENOGA AISEE, MRENO APEWA MAJUKUMU
Unaambiwa uongozi wa Klabu ya Yanga umefikia katika sehemu nzuri kuelekea kwenye mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji chini ya nguli wa mifumo ya soka...
TAMKO LA JPM JUU YA WALIOJENGA MABONDENI – VIDEO
RAIS John Magufuli amewataka wananchi wote wote wanaojenga kwenye mabonde waache na waondoke wenyewe, wayaachie maji yapite na mabonde yatumike kwa ajili ya kulisha...
SONSO APEWA MAAGIZO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ameamua kumtoa katika nafasi ya ulinzi wa pembeni beki wake, Ally Mtoni ‘Sonso’ kisha kumpa majukumu ya kuwa...
JUVENTUS HAO SASA ANGA ZA MANCHESTER CITY, YAMTAKA GUARDIOLA
IMERIPOTIWA kuwa mabosi wa timu ya Juventus inayoshiriki Serie A wapo kwenye mkakati wa kuipata saini ya Kocha Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola.Mabosi...