Home Authors Posts by admin

admin

25025 POSTS 9 COMMENTS

MBELGIJI SIMBA ATOA SABABU ZA TIMU YAKE KUBORONGA KIWANGO

0
MASHABIKI wa Simba wameonyesha hasira huku wakidai hawaelewi kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye kiwango na aina ya matokeo.Lakini kocha mkuu wa timu hiyo,...

KOCHA YANGA ADAI KULIKUWA NA HARUFU ISIYOFAA VYUMBANI

0
Kocha wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kulikuwa na harufu kali na isiyoeleweka katika vyumba vyao vya kubadilishia nguo juzi Jumatano, Februari...

YANGA WATANGAZA KUFANYA MAANDAMANO, SIMBA YATAJWA – VIDEO

0
Walichokisema mashabiki wa klabu ya Yanga kutokana na mwenendo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara huku wakiwataja watani zao wa jadi Simba.

LIONEL MESSI ATAJWA KUTUA MANCHESTER CITY

0
LIONEL Messi, mshambuliaji na nahodha wa Klabu ya Barcelona imeelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi...

KAGERE APELEKA MAUMIVU KWA MWAMUZI

0
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepitia mwenendo wa matukio ya ligi na kufanya maamuzi mbalimbali...

TASWA FC KUWAVAA STANBIC BANK, NGOMA KUPIGWA JUMAMOSI…

0
NA MWANDISHI WETUTIMU ya soka ya waandishi wa habari, Taswa FC, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Benki ya Stanbic Jumamosi hii...

YANGA WAFICHUA SIRI YA KUITWANGA LIPULI TAIFA

0
NAHODHA wa timu ya Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa walipewa mbinu na Kocha Mkuu Luc Eymael za kuwabana Lipuli jambo lililowapa ushindi wa mabao...

KOCHA MANCHESTER UNITED: FERNANDES BADO HAJAFIKIA KUWA RONALDO

0
OLE Gunnars Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa kiungo wake Bruno Fernandes hawezi kufananishwa na Cristiano Ronaldo kama wengi wanavyosema badala yake...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS