Home Authors Posts by admin

admin

24376 POSTS 9 COMMENTS

SIMBA YAANZA NA USHINDI LIGI KUU VODACOM, KAGERE ATUPIA MBILI JKT...

0
Kikosi cha timu ya Simba kimefanikiwa kuanza ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania.Mechi hiyo imepigwa uwanja wa Uhuru...

KIKOSI CHA JKT TANZANIA VS SIMBA HIKI HAPA, WAMEJIPANGA

0
Kikosi cha JKT Tanzania dhidi ya Simba 

TFF YAITAKA SIMBA KUWASILISHA RIPOTI YA VIPIMO VYA AFYA

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitaka klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na la Pilikuwasilisha ripoti kamili ya vipimo vya...

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA JKT TANZANIA HIKI HAPA

0
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya JKT Tanzania1. Aishi Manula2. Haruna Shamte 3. Mohamed Hussein4. Tairone Da Silva 5. Erasto Nyoni 6. Gerson Fraga7. Deo Kanda 8. Mzamiru...

SIMBA KUSHUSHA SAPRAZI LEO

0
Yanga jana imechezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting ikiwa ni mechi ya kwanza ya ligi kuu lakini upande wa pili yaani...

KMC WAANZA KUIVUTIA KASI COASTAL UNION, WACHEZAJI LEO KULA BATA

0
BAADA ya kuanza kwa kuchechemea ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na Vodacom kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC uwanja wa Uhuru,...

KASSIM DEWJI ATUA MAHAKAMANI KESI YA AVEVA, KABURU, ATOA USHAHIDI….

0
 Katibu Mkuu wa zamani wa Simba, Kassim Dewji leo amefika katika Mahakama ya Haimu Mkazi wa Kisutu na kutoa ushahidi.Dewji ambaye alianza kuwa katibu...

ACHANA NA KIPIGO CHA JANA, YANGA KULA BATA MWANZA

0
Yanga itafanya ziara yake jijini hapa kuanzia Jumatano ijayo na itacheza michezo miwili ya kirafi ki ikiwa ni pamoja na kushiriki shughuli za usafi...

SHAHIDI AANIKA MAZITO KESI YA ALIYEKUWA RAIS SIMBA SC

0
SHAHIDI namba saba wa kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, Frank Mkilanya (45) ameieleza mahakama jinsi nyasi za Uwanja wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS