Home Uncategorized SIMBA YAANZA NA USHINDI LIGI KUU VODACOM, KAGERE ATUPIA MBILI JKT WAKITWANGWA...

SIMBA YAANZA NA USHINDI LIGI KUU VODACOM, KAGERE ATUPIA MBILI JKT WAKITWANGWA 3-1

Kikosi cha timu ya Simba kimefanikiwa kuanza ligi msimu huu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania.

Mechi hiyo imepigwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na mamia ya mashabiki wakijitokeza kwenye uwanja huo.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA MSIMU WA 2019/20