Home Uncategorized PROF JAY NA P FUNKY KIMENUKA KISA MPUNGA

PROF JAY NA P FUNKY KIMENUKA KISA MPUNGA

Taarifa ya Chama cha Hakimiliki Tanzania (The Copyright Society of Tanzania – COSOTA) kuwa imesimamia na kuhakikisha rapa maarufu nchini ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof. Jay’,  amelipwa pesa zake Tsh. milioni 100, kutoka nchini Uganda, imekanushwa na msanii huyo.


Kupitia akaunti yake ya Twitter, Prof. Jay amewataka COSOTA kuweka rekodi sawa kwani hajapewa pesa hizo yeye, bali alilipwa mwandaaji wa kazi za muziki, prodyuza Majani ‘P Funk’, kwa kutumia ‘melody’ ya wimbo wa NIKUSAIDIEJE ulioimbwa na Prof J na Majani akiwa prodyuza. 



SOMA NA HII  HESABU ZA SIMBA KWA KMC ZIPO NAMNA HII