admin
LEO NI LEO…TANZANIA vs ALGERIA….DEZO LOTE HILI NI KWA MSELELEKO ULE...
@edgarkibwana anasema soka la nguvu linaendelea ndani ya @dstvtanzania pekee!Unaenda wapi? Furahia mechi bomba kabisa za kukata na shoka ikiwemo ya Tanzania vs Algeria...
ZAHERA AMGOMEA KOCHA MPYA YANGA, AANIKA SABABU ZAKE
KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma katakata kuchaguliwa kocha msaidizi na viongozi wake huku akiwataka wamuachie hiyo kazi yeye wa kuchagua wa kufanya naye...
ETO’O: STARS ITAFANYA MAAJABU AFCON
NGULI wa soka wa Cameroon, Samuel Eto’o ameweka wazi kuwa anaamini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itafanya kweli katika mashindano ya Kombe...
LISTI KAMILI YA WACHEZAJI 10 WLAIOMWAGA WINO YANGA HII HAPA, SI...
LISTI kamili inayotajwa kusajiliwa na Yanga mpaka sasa1. Issa Bigirimana (APR Rwanda)2. Patrick Sibomana- (Mukura Victory Rwanda)3. Mohammed Camara- (Horoya Guinea)4. Mustapha Suleiman- (Aigle...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
MBIVU NA MBICHI ZA ZITAKAZOSHUKA NA KUPANDA TPL KUJULIKANA LEO
MBIVU na mbichi kwa timu za Ligi Kuu Bara (TPL) Kagera Sugar na Mwadui FC kubaki ama kushuka moja kwa moja itajulikana leo baada...
HAZARD: NIMEFANYA JAMBO GUMU MAISHANI KUONDOKA CHELSEA
BAADA ya Real Madrid kukamilisha dili la Eden Hazard kutoka Chelsea kwa dau la Euro milioni 150, Hazard amesema amefanya maamuzi magumu kwenye sekta...
YANGA HAWATAKI UTANI, WANAUTAKA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
BAADA ya kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imeweka wazi lengo lao ni kutwaa ubingwa huo msimu ujao.Yanga imepata...
SINGIDA UNITED WAJA NA MTINDO MPYA WA USAJILI, WATANGAZA FURSA
UONGOZI wa Singida United umetangaza fursa kwa wachezaji wote ambao wanahitaji kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019/20.Akizungumza na...