Home Authors Posts by admin

admin

25094 POSTS 9 COMMENTS

LIVE: BURUNDI 0-0 TANZANIA

0
MCHEZO kwa sasa unaondelea nchini Burundi kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar kati ya Burundi na Tanzania ni kipindi cha kwanza.Hakuna...

MAHAKAMA KISUTU YAFUNGA UHAHIDI KESI YA AVEVA, KABURU, AUAMUZI SASA SEPTEMBA...

0
Ushahidi wa kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, unatarajiwa kutolewa uamuzi Septemba 17, mwaka huu kama wana kesi ya kujibu...

KIKOSI CHA STARS DHIDI YA BURUNDI

0
 Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Burundi

ISHU YA SALAH KUMZINGUA MANE NI PASUA KICHWA NDANI YA LIVERPOOL,...

0
MENEJA wa timu ya Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa tabia ya mchezaji kushindwa kutoa pasi kwa mchezaji mwingine ni ngumu kuitolea maamuzi hasa ukizingatia...

BENKI KBC YAINGIA MKATABA WA MAMILIONI NA LIGI KUU BARA

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya KCB leo September 4 2019 wameingia mkataba wa mwaka mmoja wa Udhamini wa Ligi...

SAMATTA AKABIDHIWA NA RAGE TIMU YA ARSENAL

0
Na George MgangaMwenyekiti wa zamani Simba SC, Ismail Aden Rage, amesema kuwa mshambuliaji Mtanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, anastahili kucheza Arsenal...

JEZI YA TAMBWE KUWA NA UKAME WA MABAO YANGA LAMFANYA ATOE...

0
Ukame wa mabao aliouonesha mshambuliaji Mnamibia wa Yanga, Sadney Urikhob katika mechi za mashindano yote ikiwemo za kirafiki, umemuibuka aliyekuwa straika wa timu hiyo,...

KASEJA ATISHIA AMANI BURUNDI

0
Kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars kinashuka uwanjani leo hii kupambana na Burundi katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia...

AUSSEMS AWAPIGA MKWARA WACHEZAJI WAWILI SIMBA

0
Kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amewashukia mabeki wake Muivory Coast Pascal Wawa na Erasto Nyoni kwa kuwaambia kwa msimu huu hataki kuona timu...

YONDANI AAMUA KUTII AMRI

0
Beki Mkongwe wa Klabu ya Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa anakubali uwezo wa beki mwenzake raia wa Ghana, Lamine Moro na kwamba uelewano wao...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS