Latest Posts

BALINYA AMTIKISA KAGERE BONGO

MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa msimu ujao…

BAADA YA SIKU 23, OKWI KUKINUKISHA SIMBA

HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu ya mustakabali wake ndani ya…

MNYARWANDA WA YANGA ATIMKIA ZAMBIA

KAMA Yanga hawatakaza uzi vizuri basi wapo mbioni kumkosa beki Mnyarwanda, Eric Rutanga ambaye wamekuwa wakimpigia hesabu kwa kiasi kikubwa kutokana na beki huyo kuwa…

Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc

Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu. John Mbisse aliepitia Simba…