Home Authors Posts by admin

admin

25373 POSTS 9 COMMENTS

ZAHERA WALA HATISHIKI KABISA NA LWANDAMINA, MWENYEWE AFUNGUKA HAPA

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ametamba kwamba licha ya kwamba anakutana na kocha ambaye aliwahi kuinoa Yanga, George Lwandamina, lakini hana hofu hata...

UWANJA WA SIMBA BUNJU HUU HAPA

0
Muonekano wa Uwanja wa Simba unaozidi kujengwa huko Bunju jijini Dar es Salaam.

TAMBWE AONYA DISMAS TEN KUONDOLEWA KWENYE NAFASI YAKE, ATAJA NJIA MBADALA

0
Aliyekuwa mchezaji Yanga, Mrundi, Amis Tambwe, amesema kuwa kitendo cha klabu hiyo kufanya mabadiliko ya nafasi ya msemaji haina maana ya kuwa itachangia kuleta...

MIMI SIISHI KISTAA – VIDEO

0
Msaniii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, aliyekuwa miongoni wa mastaa waliohudhuria  uzinduzi wa filamu mpya ya msanii Gabo uliofanyika jana katika ukumbi...

ZAHERA AWAJIBU TFF KUHUSIANA NA KANUNI ZA MAVAZI

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa hapa duniani hakuna sheria inayomtaka kocha avae namna gani.kauli ya Zahera imekuja kufuatia Shirikisho la Soka...

FEDHA ZA EMMANUEL OKWI ZAIBULIWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU, KAZI...

0
Wiki jana kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu palikuwa pa moto. Fedha za mauzo ya Emmanuel Okwi kwenda Etoile du Sahel zilizidi kuibua mambo...

MWINYI ZAHERA AAMUA KUFUNGUKA JUU YA KOCHA SIMBA

0
Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa kocha wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems anampa kiburi cha juu cha kumchapa mpinzani wake George Lwandamina...

MMOJA BADO HAIJAELEWEKA STARS

0
Bado haijajulikana Mbwana Samatta atatua muda gani kwenye kikosi cha Taifa Stars lakini Farid Mussa na Himid Mao wameshawasili na wanapiga mzigo.Simon Msuva na...

RATIBA SIMBA YAVUNJWA

0
Benchi la ufundi la timu ya Simba chini ya Kocha wake Mkuu, Mbelgiji, Patrick Aussems, limevunja kambi ya mazoezi kwa muda wa siku tatu.Maamuzi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS