admin
MNAMIBIA WA YANGA KUMBANA NA MTIHANI MZITO
UONGOZI wa Yanga hivi karibuni umemkabidhi mshambuliaji wake raia wa Namibia, Sadney Urikhob jezi namba 17 ambayo ilikuwa ikivaliwa na Mrundi, Amissi Tambwe.Kutokana na...
LUKAKU APATA TIMU MBADALA
INTER Milan imethibitisha kuwa ipo kwenye harakati za kumsajili straika wa Manchester United, Romelu Lukaku. Kocha wa Inter Milan, Antonio Conte anamtaka Lukaku ili...
FRED MINZIRO AKUNJA JAMVI NDANI YA SINGIDA UNITED
FRED Minziro aliyekuwa Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa kwa sasa yupo huru kujiunga na timu yoyote baada ya kumaliza mkataba wake ndani...
MBAPPE AWEKEWA NGUMU KUSEPA PSG AAMBIWA LABDA ALAZIMISHE
KYLIAN Mbappe mshambuliaji wa PSG amewekewa ngumu na uongozi wa kikosi hicho kutimka ndani ya kikosi hicho kutokana na mkataba wake kumtaka aendelee kubaki...
ANTOINE GRIEZMANN AINGIA KWENYE REKODI YA WACHEZAJI GHALI
ANTOINE Griezmann amejiunga na Barcelona kwa kusaini kandarasi ya miaka mitano akitokea kikosi cha Atletico Madrid.Nyota huyo mwenye miaka 28 anayekipiga timu ya Taifa...
MARIO BALOTELLI APATA DILI LA MAANA PARMA FC
MARIO Balotelli ambaye ni straika huenda akatua kwenye kikosi cha Parma baada ya kumalizana na kikosi cha Marseille.Mkurugenzi wa klabu hiyo, Daniele Faggiano ameweka...
BEKI SIMBA ARUHUSU USAJILI WA KIRAKA YANGA
USAJILI wa beki wa pembeni, Gadiel Michael Simba umemnusuru kiraka rasta wa Yanga, Jaffari Mohammed kuendelea kubakia kuichezea timu hiyo.Kiungo huyo, awali hakuwepo kwenye...
WAWILI YANGA WAMVUTA ZAHERA
Uwepo wa mastaa wapya wa Yanga kambini mkoani Morogoro wakiwemo Issa Bigirimana na Maybin Kalengo, umefanya kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera fasta...
OKWI AAMUA KUIFUNGUKIA SIMBA
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi juzi jioni amewaaga rasmi wachezaji wenzake aliokuwa nao katika kikosi cha Simba msimu uliopita huku pia akiwaachia...