admin
WABABE SENEGAL NA NIGERIA WATINGA NUSU FAINALI AFCON
TIMU za Taifa za Nigeria na Senegal zimefanikiwa kupenya na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya kandanda ya mataifa ya Afrika AFCON...
KAGERE, MSUDAN NDANI YA NYUMBA SIMBA
Wachezaji wa kimataifa wa Simba, akiwemo Meddie Kagere na Sharaf Shiboub wanaanza kuwasili jijini Dar es Salaam, kesho ijumaa tayari kujiandaa na msimu mpya...
SIMBA YAMPELEKA MO KWA WAZIRI MKUU
KIUNGO wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Mo’ ametolewa kwa mkopo rasmi na klabu yake kwenda kujiunga na Namungo FC ambayo imepanda Ligi Kuu Bara msimu...
GADIEL MICHAEL APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA SIMBA
GADIEL Michael nyota mpya wa Simba amesema kuwa kazi yake kubwa ni kucheza hivyo atapambana kufanya vizuri ndani ya kikosi chake kipya.Michael amesaini kandarasi...
SHIKALO ATANGAZA SIKU YA KUTUA YANGA
Kipa namba mbili wa Harambe Stars na Bandari ya Kenya, Farouk Shikalo ‘Wazza’ amefichua kuwa, ilibaki kidogo tu asijiunge na Yanga, lakini sasa atatua...
DAKIKA 120 ZATIKISA YANGA
Kikosi cha timu ya Yanga kimewasili juzi mkoani Morogoro juzi tayari kwa kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ambapo kimejichimbia kwenye Chuo cha...
IMEVUJA!! KABWILI ALISHAPATA OFA MACEDONIA AKILIPIWA KILA KITU, MPAKA SASA YUPO...
Imeripotiwa kuwa hivi karibuni ilisema kuwa klabu ya FK Renova ya Macedonia barani ulaya ilimpa ofa golikipa wa klabu ya Yanga, Ramadhani Kabwili ya...
DIDA AAMUA KUFUNGUKA ALIVYOTEMWA NA SIMBA, AMTAJA MANULA – VIDEO
Aliyekuwa kipa namba mbili wa kikosi cha Simba, Deogratius Munishi ;DIDA', amefunguka kutokuwepo katika kikosi cha Simba huku Kocha Patrick Aussems akiwa bado anamuhitaji...
TFF WATOA TAMKO JUU YA OMOG KUINOA TAIFA STARS
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya Kocha Joseph Omog kuifundisha Taifa Stars.