admin
BALINYA: OKWI AMENILETA YANGA
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni mshambuliaji wa Simba, Emmanuel...
IMEVUJA!! SIRI NYINGINE YAFICHUKA MGANDA WA SIMBA ALIVYOTUA YANGA
BAADA ya Yanga juzi Jumamosi kutikisha katika usajili kwa kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda, Juma Balinya ambaye alikuwa akitakiwa na Simba...
MANARA AWACHANA YANGA BALAA KISA BALINYA, ‘HANA LEVO YA KUCHEZA SIMBA’
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, juu ya taarifa za timu yao kudaiwa kumtaka Juma Balinya.
KAZI IMEANZA AZAM FC, YAMCHOMOA WINGA MATATA MBEYA CITY
Idd Seleman 'Nado',amesajiliwa na Azam FC kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Mbeya City.Nado amesaini mkataba huo mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam...
YANGA YAKAMILISHA ASILIMIA 90 YA USAJILI WA ZAHERA,
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa umekamilisha mchakato wa usajili wa wachezaji wake kwa asilimia 90 kutokana na maagizo ya kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.Mwenyekiti...
WEMA SEPETU ASWEKWA NDANI HADI JUNI 24
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu, kukaa mahabusu...
MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP
Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miakaMiwili umeelezwa umtokana na mambo mawili makubwa.MOJA:Ni baada ya Kagere raia wa Rwanda lufanya vema msimu...
PASIPOTI YAMZUIA AIYEE KWENDA SWEDEN
STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.Aiyee alitakiwa kusafiri Juni 15, kwenda nchini Sweden kwa...
TAIFA STARS INAHITAJI MICHANGO, MWAKYEMBE AFUNGUKA – VIDEO
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe, amewaomba Watanzania kuichangia Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo ipo Misri kwa ajili ya...