admin
KAKOLANYA ATOA TAMKO LAKE LA KWANZA BAADA YA KUSAINI SIMBA
GUMZO la mashabiki ni kwamba Beno Kakolanya anaweza kumuweka benchi Aishi Manula?Amesaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi. Lakini ametamka kwamba; “Moto utawaka.”Kakolanya kujiunga na...
MFAHAMU MCHEZAJI WA ALGERIA ALIYETUPWA NJE AFCON SABABU YA KUONESHA MAKALI...
Kocha wa Algeria Djamel Belmadi amethibitisha kuwa amemtema kikosini kiungo mshambuliaji Haris Belkebla kwa utovu wa nidhamu. Kikosi cha Algeria kinaendelea kujifua kwaajili ya...
MAURIZIO SARRI ATIMKA CHELSEA AIBUKIA JUVENTUS
MAURIZIO Sarri aliyekuwa meneja wa Chelsea sasa ni mali ya Juventus ambapo amesaini kandarasi ya miaka mitatu.Timu yake ya zamani Chelsea imethibitisha kocha wake...
TAIFA STARS KAZINI LEO MISRI. KUWAVAA ZIMBABWE
Leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itaingia uwanjani katika mchezo wa pili wa majaribio dhidi ya Zimbabwe, mchezo utakaopigwa katika uwanja wa...
YANGA WAMCHUNIA BOBAN, MENEJA WAKE AFUNGUKA
WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa kimya kwa baadhi ya nyota wake imebainika kuwa hata kiungo mkongwe wa timu hiyo, Haruna Moshi ‘Bobani’ bado hajapigiwa...
Amunike kujaribu wengine leo
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo inashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa Kirafiki dhidi ya Zimbabwe.Mchezo huo utakaochezwa saa...
WATATU WAPIGWA ‘PINI’ KMC
UONGOZI wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC umeamua kuendelea kuwapiga pini nyota wao wanaowahitaji ambapo leo tena wamemuongezea kandarasi mchezaji wao Cliff Buyoya.Ofisa...
BEKI SIMBA AMWAGIWA MSHAHARA MILIONI 4 KWA DAU LA USAJILI MILIONI...
MODewji hataki kuona mchezaji ambaye bado anahitajika na Kocha Patrick Aussems pale Simba anaondoka ndiyo maana amevunja benki na kumpa nahodha msaidizi, Mohammed Hussein...