admin
MOURINHO ANUKIA KUREJEA CHELSEA
IMEELEZWA kuwa vuguvugu la kumtafuta meneja ndani ya kikosi cha Chelsea kwa sasa linamhusisha Jose Mourinho ambaye amewahi kukinoa kikosi hicho kwa mafanikio kabla...
RASMI WACHEZAJI WATATU WAPIGWA PINI SIMBA
ERASTO Nyoni, beki kiraka wa Simba rasmi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo.Nyoni anakuwa ni mchezaji wa tatu kwa Simba kutangazwa...
KILICHOMG’OA NDAYIRAGIJE KMC MPAKA KUTUA AZAM FC CHATAJWA
UONGOZI wa Azam FC leo umemtangaza rasmi kocha Etienne Ndayiragije aliyekuwa KMC kuwa kocha wao mpya kwa msimu wa 2019/20.Akizungumza mara baada ya kutambulishwa, Ndayiragije...
BAADA YA STARS KUTANGAZA KIKOSI CHA MAANGAMIZI JANA, UGANDA NA KENYA...
Timu ya taifa ya Kenya na Uganda wametangaza vikosi vyao vya wachezaji 23 vitakavyoshiriki fainali za mataifa ya Afrika 2019 nchini Misri.Kenya wapo Kundi...
YANGA YAFANYA MAAMUZI MENGINE KUHUSU AJIBU
meelezwa kuwa uongozi wa Yanga umeamua kubadili gia angani kwa kuanza mazungumzo ya kumuogezea mkataba kiungo wao Ibrahim Ajibu ambaye mkataba wake umememalizika ndani...
Jezi za taifa stars kuzinduliwa leo
Muda mfupi ujao Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, litazindua jezi mpya kwaajili yat timu ya Taifa Tanzania katika michuano ya Mataifa ya...
WACHEZAJI SABA WA SIMBA WANAOPEWA NAFASI YA KUSEPA MSIMU UJAO
IMEELEZWA kuwa kwa sasa kikosi cha Simba kinafanya usajili wa kimyakimya na mpango wake mkubwa ni kufanya maboresho kwenye kikosi chao kwenye michuano ya...
WACHEZAJI 16 WALIOPIGWA PANGA STARS
TIMU ya Taifa ya Tanzania kwa sasa ipo nchini Misri ambapo imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza Juni...
NYOTA WA MWADUI ANAYEWINDWA NA YANGA KUTIMKIA ULAYA
NYOTA wa kikosi cha Mwadui FC, Salum Aiyee mambo yamezidi kumyokea kwake ambapo imeelezwa kuwa kwa sasa amewekwa kwenye mawindo na timu kama tano...
Adi,Banda na kichuya miongoni wa walioachwa
Kikosi cha timu ya Taifa kimeweka kambi yake ndhini Misri, katika wachezaji 32 waliosafiri na timu iltakiwa wabaki wachezaji 23 tu kwaajili...