admin
KIBA ATAJA SABABU YA NIFUATE PROJECT, JUNI 2 KUWAKA TAIFA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba amesema kuwa sababu kubwa za kuandaa mchezo maalumu utakaochezwa jumapili uwanja wa Taifa ni kuisaidia jamii...
SAMAKIBA ITADUMU MILELE
NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mpango wa kuisaidia jamii utakuwa ni wa kudumu kwa kuwa ni sehemu ya maisha kuwakumbuka...
YANGA WAPEWA BURE MBADALA WA MAKAMBO
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa upo tayari kuwapa nyota wao Salum Aiyee hata bure endapo watakuwa wanahitaji saini yake msimu ujao.Yanga kwa sasa...
UKIACHANA NA WALE WANAOTEMWA YANGA, HAWA HAPA WANATOLEWA KWA MKOPO
Wakati maboresho ya kikosi cha Yanga yakiendelea kufanyika hivi sasa kwa kusajili wachezaji wapya, baadhi wametajwa kuondolewa kwa mkopo.Yanga hivi sasa imesajili wachezaji takribani...
WACHEZAJI WANAOTEMWA YANGA HAWA HAPA
Hii hapa orodha ya wachezaji wanaoelewa kuwa wataachwa Yanga siku yoyote kuanzia hivi sasa huku nafasi zao zikichukuliwa na wale wanaofanyiwa usajili hivi sasa.Pius...
NAMUNGO YAANZA KUIVURUGA BIASHARA UNITED
MLINDA Mlango namba moja wa kikosi cha Biashara United, Nurdine Barola raia wa Burkina Faso anatarajiwa kujiunga na kikosi cha Namungo FC ambacho msimu...
LIPULI: HATUNA MKWANJA ILA KOMBE TUNASEPA NALO
KOCHA wa timu ya Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa bado hali ndani ya kikosi kwa upande wa uchumi haijakaa sawa ila amewajenga kisaikolojia wachezaji...
AZAM FC: TUPO TAYARI KUWA WA KIMATAIFA
KOCHA wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa fainali ya kombe la FA dhidi ya Lipuli...
Yanga walivaa ovyo kwenye futari, Simba walifundisha kuvaa Yanga Jana.
Jana kulikuwa na utoaji tunzo wa klabu za Simba, kitu ambacho ni kikubwa na chenye kuigwa kwa vilabu vingine ndani ya nchi...
TANZIA: MJUMBE KAMATI YA UTENDAJI YANGA AFARIKI
TIMU ya Yanga pamoja na familia ya wanamichezo duniani imepata pigo kufuatia kifo cha mjumbe wa kamati ya Yanga Felix Kibodya.Kibodya amefariki usiku wa...