admin
MOSES KITANDU WA SIMBA, SASA BADO KIDOGO KUTIMKIA KENYA
STRAIKA wa Simba, Moses Kitandu anayekipiga Coastal Union kwa mkopo yupo mguu nje ndani kutimkia kucheza soka la kulipwa katika timu ya KCB.Kitandu ambaye KCB...
Ni nafasi kwa KMC kuomba kushiriki CECAFA
Simba na Yanga wamejitoa katika mashindano ya Kagame Cup kwa sababu mbalimbali na kuifanya Tanzania iwe na mwakilishi mmoja tu ambaye ni...
DUH! SHILOLE KWA FIKSI BALAA, ETI HAJAWAHI KUGUSWA
MUME wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe, amesema tangu aanze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki huyo mpaka anamuoa...
SINGIDA UNITED YAWATOA HOFU MASHABIKI WAO KUHUSU ISHU YA USAJILI KWA...
UONGOZI wa Singida United, umesama kuwa kufanya usajili kwa mtindo wa kipekee kwa kutoa fursa kwa wenye vipaji kujitokeza huku dozi yao ikiwa ni...
MWADUI FC: TUMEPATA TAABU SANA MSIMU HUU
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa wachezaji wote walikuwa na wazo moja kichwani walipoingia uwanjani hali iliyowasaidia kupata matokeo chanya mbele ya wapinzani wao...
ALIYEWAHI KUWA RPC AJINYONGA HADI KUFA ZANZIBAR
Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, DCP Aziz Juma Mohammed (pichani), amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake, Kibweni, Unguja, usiku wa...
KIPI HASA KINAKUUMIZA KWA AJIBU NA JONAS MKUDE?
Na Saleh AllyMIAKA mitatu iliyopita wakati kikosi cha Taifa Stars kambini nchini Uturuki, Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa alilalamika kuhusiana na wachezaji wavivu wa...
KILICHOWABAKIZA NDANI YA TPL WABABE WA SIMBA CHATAJWA
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa aliwaambia vijana wake watulie kwani mchezo ulikuwa mkononi mwao na kubaki kwenye ligi ilikuwa ni...