admin
KISA KIPIGO CHA JANA DHIDI YA UGANDA….KOCHA TAIFA STARS ATOKOMEA GHAFLA…
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Adel Amrouche ametokomea kusikojulikana baada ya mchezo wa timu yake na Uganda kumalizika jana Jumanne, Machi...
BAADA YA KUVAA UZI WA TIMU YA TAIFA YA CONGO…MAYELE AFUNGUKA...
Mara baada ya kufanikiwa kupata nafasi ya kucheza dakika tatu za mwisho katika kikosi cha Timu ya Taifa ya DR Congo, Fiston Mayele ameelezea...
MORRISON AIBUKA UPYA YANGA…ALLY KAMWE ATOA KAULI YA KLABU…NKANE NAYE NDANI…
Ripoti kutoka kwenye kambi ya Yanga zinasema kuwa kiungo wa pembeni wa klabu hiyo, Bernard Morrison ameshapona kwa asilimia 80 na muda siyo mrefu...
WAKATI ISHU YA FEI TOTO NA YANGA IKIWA BADO MBICHI…SHAFIIH DAUDA...
Baada ya Mlinzi wa Yanga, Ibrahim Hamad "Bacca" kuanza mchezo dhidi ya US Monastir, na kuonesha kiwango safi kisha kuitwa katika Kikosi cha Timu...
BAADA YA KUANZA KUONYESHA MAKEKE…MZIZE APELEKWA KWA BOCCO…..TFF WAPEWA MAELEKEZO…
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Sheria na Utawala wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Eliud Mvella amesema kama taifa tunapaswa kuanza kuaanda mshambuliaji wa kati...
ACHANA NA RONALDO…HUU HAPA MCHUMA ANAOTUMIA MESSI KUPAA NAO ANGANI…NI NOMAA...
Hii ndio Ndege binafsi anayotumia Nyota wa Argentina Lionel Messi inayokadiriwa kuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni 15.
Ndege hiyo ya kifahari ina...
PAMOJA NA BALEKE KUANZA KUTUPIA SIMBA…MBRAZILI KAMTAZAMA WEE..KISHA AKAGUNA NA KUSEMA...
Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke ameandaliwa Program maalum itakayomuongezea kasi ya kufunga mabao akiwa na Kikosi cha Simba SC, kinachojiandaa na mchezo...
TANZANIA vs UGANDA ….TAZAMA MECHI HII LIVE KUPITIA LINK HAPA…
Karibu kutazama Live mechi ya Tanzania vs Uganda moja kwa moja kwenye simu yako, linki zifuatazo zinakulete mechi hio moja kwa moja.
Linki 1, Link...
HUU HAPA UKWELI KUHUSU BEKI OUATTARA NA ANAYOYAPITIA SIMBA…TAARIFA RASMI YATOLEWA…
Beki wa Simba raia wa Burkina Faso, Mohamed Outtara ameanza mazoezi baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda akisumbuliwa na majeraha
Ouattara hakuwa sehemu...
MO DEWJI AIBUKA NA MAPYA SIMBA….ATAJA WANAOMKWAMISHA KUWEKEZA…
Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji amesema anawafahamu wale wote wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ndani ya klabu hiyo na...