admin
IKIWA USIKU WA ULAYA NI LEO…HAKIKISHA UNAKAMATA ODDS ZA KUSHIBA KUTOKA...
Ligi ya mabingwa Barani Ulaya kuendelea hii leo na kesho ambapo kila timu inahitaji kusonga mbele kwenye hatua inayofuata. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee...
BAADA YA KUONA MAJI YANAZIDI UNGA…ZAMALEK WAOMBA MSAADA CAF ILI WAFUZU...
Klabu ya Zamalek ya Misri imetoa taarifa rasmi ya kupeleka malalamiko CAF kuhusu klabu ya Esperance ya Tunisia kumtumia mchezaji Houssem Dagdoug kwenye mchezo...
ZA NDAANI KABISA…SIMBA WAANZA USAJILI MAPEMA….MBADALA WA TSHABALALA HUYU HAPA…ANAPIGA KROSS...
Simba juzi jioni ilikuwa Uwanja wa Manungu, Turiani Morogoro kumalizana na Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara kisha kuanza kujipanga kwa mchezo...
WAKATI HOROYA WAKIPANIA KUMALIZA KAZI DAR…MBRAZILI SIMBA KUINGIA NA SAPRAIZI HII...
Roberto Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kila mchezo atafanya mabadiliko kulingana na mbinu za wapinzani wake anaokutana nao.
Timu hiyo ina kibarua...
KUELEKEA MECHI NA WAARABU…NABI ATAMBA YANGA KUUTIKISA M’BUYU…
Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawatarudia makosa kwenye mechi yao dhidi ya US Monastir kwa wachezaji wa timu hiyo kusaka matokeo...
BAADA YA UKIMYA MREFU…SIMBA WAANIKA KILICHONYUMA YA PAZIA ISHU YA MAJERAHA...
Baada ya ukimya wa muda kupita, hatimaye uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa kiungo wao mshambuliaji wao Augustine Okrah, alivunjika kidole kwenye mechi...
PAMOJA NA MGOGORO WAKE NA YANGA….FEI TOTO ‘ALA SHAVU’ TAIFA STARS…SIMBA...
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Adel Amrouche ametaja kikosi cha timu hiyo kuelekea Mchezo wa Mzunguuko watatu wa Kundi F, wa...
KWA BUKU 5 TU…UNAHAKIKA YA KUVUNA MPAKA MIL 3 ZA MERIDIANBET…ZINGATIA...
Ofa za Meridianbet zinaendelea kutaradadi katika kila kona, ofa baada ya ofa, promosheni baada ya promosheni katika mwezi wenye mambo mengi. Nafasi ni yako...
BAADA YA KUWATAZAMA SIMBA WANAVYOCHEZA…PATRICK PHIRI KAGUNA KISHA AKAWASHTUA MABOSI MSIMBAZI...
Kikosi cha Simba jioni ya juzi kilikuwa kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani kuvaana na Mtibwa Sugar katika pambano la Ligi Kuu Bara, ikiwa ni...
KISA MAYELE NA MUSONDA…YANGA WATUMA UJUMBE HUU KWA CAF….MATAKWA YAO HAYA...
Kiwango bora kinachoendelea kuoneshwa na Yanga katika mashindano mbalimbali msimu huu, kimemuibua Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ambaye ameweka wazi kuwa, wana matumaini...