Home Authors Posts by admin

admin

25150 POSTS 9 COMMENTS

ROBERTINHO MAJI YA SHINGO SIMBA…MABOSI WATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE…ISHU NZIMA IKO...

0
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ juzi Jumanne usiku aliwagawa viongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, baadhi yao wakishinikiza avunjiwe...

KISA CAF….MORRISON AKOMBA MAMILIONI YA YANGA KIULAIINI KABISA…NYUMA YA PAZI KUNA...

0
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema kuwa, wanalazimika kumlipa mshahara mkubwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mghana, Bernard Morrisson kutokana na uzoefu na...

KUELEKEA MECHI YA KESHO….YANGA WABET KWA BEKI WAO KUPATA USHINDI…NABI AANIKA...

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefichua kuwa, uwepo wa beki mpya wa timu hiyo, Mamadou Doumbia raia wa Mali, utawasaidia kwa kiasi kikubwa...

REKODI ZA YANGA CAF ZASHTUA…MBRAZILI SIMBA KUJILIPUA LEO…TIMU YAWA GUMZO KUBWA...

0
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi ya 25/2/2023.

WALIOTUSUA NA MERIDINABET WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO….MWAMBA KASHINDA BODABODA KIULAINII…

0
Kila siku Meridianbet hawajawahi kumuangusha mtu linapokuja suala la kuwajali wateja wake, na hatimaye leo wamewatangaza washindi wao mbalimbali, kubwa Zaidi ni mshindi wa...

FUKUTO LAZIDI SIMBA…MZEE DALALI AMSHUKIA ‘JUMLA JUMLA’ MANGUNGU…AMPA UKWELI WAKE ‘LIVE’…

0
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba SC Hassan Dalali amemshauri Mwenyekiti wa sasa wa Klabu hiyo Murtaza Mangungu kwa kumtaka ajitafakari na kuitafakari Klabu hiyo...

BAADA YA KUPONDWA SANA…MWANYETO AANZA KUKIWASHA YANGA…NABI AFUNGUKA ALICHOMFANYIA…

0
Baada ya kusemwa kwa kushuka kiwango, beki Bakari Mwamnyeto wa Yanga ni kama amewaziba midomo waliokuwa wanambeza kwa kuonyesha kiwango bora katika mchezo wa...

KIMENUKA SIMBA…DEWJI ATANGAZA KUMTAMBUA MGUNDA KAMA KOCHA MKUU WA TIMU…

0
Wakati wingu zito likizidi kutanda kunako klabu ya Simba SC ikianziwa na hatima yao kunako michezo ya hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Bado...

PAMOJA NA KUANZA KWA VIPIGO…MKENYA AIPELEKA SIMBA ROBO FAINAL CAF…AGUNA KUHUSU...

0
Aliyekua Kocha Mkuu wa Klabu za Biashara United Mara na Kagera Sugar Francis Baraza, amesema Simba SC bado ina nafasi kubwa ya kutinga Hatua...

KUELEKEA MECHI NA REAL BAMAKO….NABI ATUMA SALAMU NZITO KWAO…YA MAZEMBE KUJIRUDIA…

0
Yanga iliilaza KMC 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu juzi jioni na usiku wake ikapaa kwa ndege kuanza safari ya kuwafuata wapinzani wao Real...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS