Marce Ben Komba
RIVERS UNITED WAVAMIWA DAR…WAPULIZIWA SUMU…WAIBIWA MAMILIONI YA PESA
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja...
MAYELE AWEKA REKODI HII YANGA…APEWA JEZI YA HESHIMA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Kalala Mayele leo Jumamosi, Aprili 29, 2023 amekabidhiwa jezi maalum namba 50 inayomanisha idadi ya mabao hamsini (50) aliyofunga hadi...
TEGETE AWACHANA MAKAVU YANGA…”ACHENI DHARAU”…AMEZUNGUMZA HAYA
Kocha mkongwe nchini, John Tegete amesema kama Yanga
wakiongeza kasi kidogo basi msimu huu itatinga fainali ya Kombe ya Kombe la Shirikisho Afrika na kuwashangaza...
MAJERAHA YAMTESA PHIRI SIMBA…BALEKE AMKOSESHA RAHA…AMEFUNGUKA HAYA
Mshambuliaji kutoka Zambia na Klabu ya Simba SC Moses Phiri anamini ipo siku ataaminiwa na kupata nafasi ya kucheza na ndio hapo atakapomthibitishia Kocha...
KOCHA YANGA AMWAGA SIRI NZITO…ATATUMIA MBINU HIZI KUWAANGAMIZA RIVERS
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohammed Nabi amesema kuwa katika mchezo wa kesho dhidi ya Rivers United, hatapaki basi badala yake atashambulia na kujilinda...
BAADA YA KUWASHA MOTO CAF…SHAFFIH DAUDA AFUTA KAULI…”SIMBA SIO UNDERDOG TENA
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Shaffih Dauda amefuta kauli yake ya Underdog kwa Klabu ya Simba SC, baada ya klabu...
BAADA YA SIMBA KUTOLEWA CAF….CHAMA AANDIKA UJUMBE HUU MZITO
Mara baada ya kuondoshwa kwa cha changamoto ya mikwaju ya penalti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, ameandika...
HAKUNA ANAYEWEZA KUNIPANGIA KIKOSI CHANGU…MASHABIKI TULIENI…”NABI
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohammed Nabi amewataka mashabiki wa soka nchini kuacha tabia ya kuwapangia vikosi makocha wao kwa ajili ya mchezo husika...
NEYMAR KUTIMKIA MANCHESTER UNITED…MABOSI WAKAA MEZANI…ISHU NZIMA IKO HVI
Manchester United watachukua hatua kwa ajili ya mshambuliaji wa Paris-St Germain na Brazil Neymar, 31, iwapo dau la Qatari bid, linaloongozwa na Sheikh...
HUYU HAPA KIBOKO YA YANGA…INJINI YA MAGOLI AZAM FC…TISHIO KUBWA LIGI...
MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi.
Lyanga ameanza kikosi cha...