SPIKA WA BUNGE AMWAGA MAMILIONI…TIMU HII YAPOKEA MAPENE HAYO
Spika wa Bunge la Tanzania Dk Tulia Ackson ametoa Sh2 milioni kwa timu ya Mbeya City ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya timu hiyo kuelekea…
Spika wa Bunge la Tanzania Dk Tulia Ackson ametoa Sh2 milioni kwa timu ya Mbeya City ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya timu hiyo kuelekea…
Uongozi wa Klabu ya Singida Big Stars umechimba mkwara kuelekea mchezo wa Mzunguuko wa 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao utawakutanisha na Mabingwa watetezi…
Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa nchini Nigeria Rivers United, Stanley Eguma, amekiri kuifuatilia Young Africans ilipokuwa ikicheza dhidi ya Simba SC juzi Jumapili (April 16),…
Hatimaye Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amafichua siri ya kuibanjua Young Africans katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliopigwa Juzi Jumapili…
Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki Yanga…
Wekundu wa Mismbazi Simba SC, wamerejea kambini leo saa tatu asubuhi kuanza kambi kwa ajili ya kuwawinda Wydad Casablanca kutoka nchini Morocco. Simba walipewa mapumziko…
Mshambuliaji wa Yanga SC, Kennedy Musonda amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kutokana na kipigo cha bao 2-0 kutoka kwa watani zao wa Jadi, Simba…
Wakati Simba SC wakiiadhibu Yanga katika Uwanja wa Mkapa. Jumapili iliyopita mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis aliweka rekodi kadhaa…
Baada ya kumtoza faini ya €300K (Tshs. Milioni 772) kwa kitendo cha kumpiga Leroy Sane, Klabu ya Fc Bayern Munich wanafikiria kumuuza Sadio Mane ifikapo…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameeleza kilichomfanya nyota wao Sadio Kanoute akosekane kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga SC pamoja na mechi nyingine zilizotangulia…