Marce Ben Komba
KIUNGO HUYU WA CONGO ATUA MSIMBAZI….USAJILI WA KIBABE…ROBERTINHO AUPIGA MWINGI
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' mjanja sana kwani wakati akijipanga kumalizia mechi za msimu huu katika michuano ya kimataifa na ya ndani,...
SIMBA YAANDAMWA NA NJAA KALI…KOCHA MKUU ATHIBITISHA…AMEZUNGUMZA HAYA
JANA tulianza sehemu ya kwanza ya mahojiano yetu na Kocha Mkuu wa Simba, Robert Oliviera ‘Robertinho akifafanua mambo mbalimbali ndani ya ajira yake akiwa...
KIUNGO MGANDA AWACHANA MUDAHTIR NA BANGALA…AWATOBOLEA SIRI MECHI NA MAZAMBE
Kiungo mkabaji wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho amewataka wachezaji wenzake akiwemo Mudathir Yahya na Yannick Bangala kutobweteka watakapokwenda kucheza dhidi ya TP Mazembe ugenini.
Yanga...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA…KILICHOPIGWA NA RAJA CA 3-1
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wanashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuwakabili vinara wa kundi C, Raja...
HAWA HAPA VIBONDE LIGI YA MABINGWA AFRIKA…WATOLEWA BILA USHINDI WOWOTE
Miamba ya Uganda, Vipers Sc imekubali kichapo cha 2-0 dhidi ya Horoya AC ya Guinea na kuaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika bila...
RAJA CASABLANCA 3-1 SIMBA SC…ONYANGO AICHOMESHA SIMBA MOROCCO
Klabu ya Raja Casablanca ya nchini Morocco imeiahushia kipigo tena Klabu ya Simba baada ya kuitungua mabao 3-1 katika Dimba la Mohammed wa V...
CAF YAWAPA JEURI SIMBA SC…MAZEMBE KWISHAA MASTAA YANGA WAJIPANGA HIVI
April 01, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
HUYU HAPA MRITHI WA TSHABALALA SIMBA…AVALISHWA MIKOBA RASMI
Wakiwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Raja Casablanca, mikoba ya nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Jr inatarajiwa kuwa...
HIZI HAPA SABABU ZA MSUVA, SAMATTA KUPOTEANA…MBINU KUKWAMA…MECHI YA TANZANIA VS...
BAO la dakika za majeruhi lililowekwa kimiani na mtokea benchi wa Uganda, Rogers Mato, lilitibua mipango ya Taifa Stars katika safari ya Afcon mwakani...
PETER TINO AWACHARUKIA TFF…”ACHENI KUITA TAIFA STARS KWA MAJINA
WAKATI kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Uganda, kikiiweka Taifa Stars katika mazingira magumu ya kufuzu fainali zijazo za Mataifa ya Afrika (Afcon), nyota...