Marce Ben Komba
TIKETI ZATOLEWA BURE KWA MASHABIKI LEO…MECHI YA TAIFA STARS VS...
KILA mmoja hawezi kuamini kile ambacho Stars watakifanya leo wakati watakapokuwa wakivaana na Uganda kwenye mchezo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa...
MTAALAMU WA YANGA SC…ATEKWA NA WALIBERIA…APATIWA MISHENI YA SIRI
UBORA iliyonayo Yanga kwa sasa unavuma sio hapa Tanzania tu, bali hadi katika mataifa mengine ya Afrika na sasa Shirikisho la Soka Liberia limekubali...
POLISI TANZANIA WAOGESHWA MANOTI…MWINYI ZAHERA ASHANGAZWA!!
Kikosi cha Polisi Tanzania kimeendelea kujinoa kuhakikisha kinajinasua mkiani mwa Ligi Kuu, huku mastaa wa timu hiyo wakiwekewa mamilioni mezani ili wapambane na kuipusha...
YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA WAO MKUU…KOCHA WA MUDA AKABIDHIWA TIMU
BAADA ya Yanga Princess kuonekana kusuasua kwenye Ligi ya Wanawake (WPL) msimu huu hatimaye viongozi wamefikia makubaliano ya pande zote mbili kuvunja mkataba na...
KIUNGO MNIGERIA AWAGOMEA SIMBA…MABOSI WACHANGANYIKIWA
Wakati Kiungo wa Simba raia wa Nigeria, Victor Akpan akiendelea kusaka namba katika kikosi cha Ihefu, ameiomba klabu yake impeleke Coastal Union.
Akpan alisajiliwa na...
MANARA AMTAFUTIA TIMU ULAYA FEISAL SALUM “FEI TOTO”…KULIPWA MIL 300…
Sakata la kiungo wa Yanga Feisal salum 'Fei Toto' limezidi kushangaza wengi baada ya kuibuka kwa mzee Sunday Manara ambaye amefunguka kila kitu kuhusu...
MAGAZETI: SIMBA YAVAMIA KAMBI YA TAIFA STARS…MORRISON AMEZUA JIPYA YANGA HILI...
March 28, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
MAGAZETI: YANGA SC YAFANYA USAJLI…NABI AAGIZA WINGA HATARI KUTOKA MALI…PHIRI ATIBUA...
March 28, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
KIUNGO WA YANGA APENYA CAF…MBRAZIL SIMBA ATOA MASHARTI MAZITO….
March 28, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
RAISI WA SIMBA MO DEWJI AFANYA KUFURU HASWAAA…MECHI YA TAIFA STARS...
Rais wa heshima, Mohammed Dewji amenunua tiketi 5,000 kwa ajili mashabiki katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON kati ya
Tanzania na Uganda utakaopigwa kesho katika...