Marce Ben Komba
CHAMA AMBURUZA AZIZ KI…HII HAPA LIST KAMILI YA WACHEZAJI WANAOLIPWA ZAIDI...
CHAMA AMBURUZA AZIZ KI...Hii ni orodha wacheza wa Ligi Kuu ya NBC wanaovuta mkwanja mrefu zaidi.
10. Feisal Salum 16M -Azam FC
09. Fabrice Ngoma 18M...
VITA YA FEI TOTO NA AZIZ KI YAPAMBA MOTO…KOCHA AZAM AVUNJA...
Bao moja alilolifunga nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' katika mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar limemfanya kufikisha mabao 15 ya...
HENOCK INONGA KUINOA SIMBA…AWACHANA MABEKI MABEKI…ISHU NZIMA HII HAPA
Licha ya uwepo wa kocha Juma Mgunda na msaidizi wake Seleman Matola, beki Mkongomani wa Simba, Henock Inonga ambaye alikuwa kati ya wachezaji wa...
MGUNDA AONYESHA UBABE LIVE…NO CHAMA NO PROBLEM…MASTAA HAWA KUSUGULISHWA
Wakati mabadiliko ya kikosi cha Simba katika michezo miwili iliyopita ya ligi yakianza kuwavutia baadhi ya wadau na mashabiki wa timu hiyo, kaimu kocha...
SIMBA KUMSAINISHA MSHAMBULIAJI HUYU HATARI…ANATOKEA MISRI HUYU HAPA
Inaelezwa kuwa Simba SC ipo kwenye mipango ya kumsainisha mshambuliaji wa Al Ittihad Alexandria ya nchini Misri, Agostinho Cristóvão Paciência maarufu Kwa Jina la...
MASTAA HAWA SIMBA NA YANGA KUWA GHALI SOKONI…AZIZ KI NA CHAMA...
Sinema inayoendelea ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kudaiwa kugoma kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho inatoa picha jinsi shughuli inavyoweza kuwa pevu...
RAIS YANGA AMPANDIA NDEGE MDABADALA WA LOMALISA…AMFUATA MCHEZAJI HUYU
Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na...
TAKWIMU ZAENDELEA KUMBURUZA KIBU DENIS…FAILI LAKE LOTE SIMBA HILI HAPA
Sijui kama tutajua tufuate lipi katika soka la kisasa Takwimu au macho yetu? Tangu tuanze kushika kompyuta zetu soka limeanza kutuchanganya Tuamini katika lipi...
JEMEDARI AWAVAA SIMBA NA YANGA…NI KUHUSU KUENDEKEZA USHIRIKINA…ISHU NZIMA HII HAPA
Jana (Juzi) Yanga SC wakiwa mazoezini Lake Tanganyika kuna watu walikuwa wanafanya vitendo vya kishirikina kabla ya mazoezi, Simba SC walifanya hivyo kabla ya...
“SIMBA TUMEPIGWA NA TAHARUKI FEDHA WANAZOTAKA WACHEZAJI…AHMED ALLY AFUNGUKA A-Z
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wamepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji wachezaji...