Marce Ben Komba
MABOSI WA YANGA WAWEKA MIL 150 MEZANI…WACHEZAJI WALIPWA BONUS ZAO ZOTE
YANGA ina dakika 90 za kuthibitisha ubora wao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika itakapoikaribisha US Monastir ya Tunisia, huku mastaa wa timu hiyo wakiwapiga...
PRINCE DUBE NI HATARI…UJANJA WAKE NDANI YA 18
Ujanja wa Prince Dube muuaji anayetabasamu kutupia ndani ya ligi ni akiwa ndani ya 18 ambapo katupia kamba tano akiwa eneo hilo huku akitupia...
SAMATTA ATAMBA KRC GENK…ANAKIWASHA BALAA…MAGOLI NA PASI USISEME
Straika wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameendelea kuwa mchezaji muhimu katika Timu yake ya Genk siku za hivi karibuni na hii ni baada...
MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA…ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA
Mwamuzi Raphael Mbotela (18) amefuzu Mafunzo ya kuchezesha michezo ya ligi kuu ya nchini Zambia baada ya kumaliza kozi ya Uamuzi kwa mwaka 2022,
Sasa...
US MONASTR:- TUNAADHIMISHA MIAKA 100…MECHI NA YANGA USHINDI LAZIMA
Klabu ya Us Monastr ya Tunisia imefikisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake na kuelekea mchezo wa leo Jumapili Machi 19 wa kombe la shirikisho...
WACHEZAJI WAWILI WAPIGWA NA RADI WAKICHEZA MECHI…WAFARIKI HAPO HAPO
Wachezaji wawili nchini Kenya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi walipokuwa uwanjani katika mechi ya kirafiki katika Kaunti ya Kisii.
Sammy Musa, 20, na Joshua Nyangaresi, 21,...
MCHEZAJI ALIYEONDOKA SIMBA…PENGO LAKE LAZIBWA…WATAJWA WATATU
OPAH Clement ameanza kuyazoea maisha mapya nchini Uturuki, huku timu aliyokuwa akiichezea, Simba Queens imewataja wachezaji watatu wa kuziba nafasi yake kikosini.
Opah ametimkia klabu...
FT: SIMBA SC 7-0 HOROYA AC…CAF CHAMPIONS LEAGUE…BENJAMIN MKAPA…18.03.2023
Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club leo na Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. mabao 7-0
Simba imeingia uwanjani ikiwa na alama...
FIFA NA CAF WAMPE TUZO MAMA SAMIA…KWA KUHAMASISHA MICHEZO NA KUONGEZA...
Nimesikia na kuona Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) likitoa tuzo maalum kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Mfalme Mohammed VI wa...
MAGAZETI: KOCHA SIMBA AWAFANYIA UNYAMA HOROYA…YANGA “TUKO TAYARI KUWAMALIZA WAARABU
Good Morning Mwanamichezo March 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania