Marce Ben Komba
KAKOLANYA AFURAHIA KUITWA STARS…KUJIWEKA SAWA MUDA WOTE NI MUHIMU…HATA NIKIKAA BENCHI...
Kipa wa Simba, Beno Kakolanya amesema japokuwa anapata nafasi ndogo ya kucheza ndani ya kikosi, lakini kuitwa Taifa Stars kunampa nguvu ya kupambana.
Kalolanya ni...
HUYU HAPA KINARA WA KADI…MECHI 17 KADI 11…UKIKUTANA NAYE PISHA NJIA
Kiungo wa Simba Saido Kanoute ndiye kinara wa kupata kadi za njano na amekuwa mchezaji wa kwanza msimu huu ndani ya Simba na ligi...
SAFARI YA KIBWANA JANGWANI KIZUNGUMKUTI…LOMALISA AUNGUZA KIBANDA…SIJUI ITAKUAJE?
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ameonekana kumtumia zaidi Joyce Lomalisa kama beki namba tatu kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, kuliko Kibwana Shomari aliyeonyesha kiwango...
KAMWE:- WAARABU TUMEWASOMA…TUMEWAPIGIA MAHESABU MAKALI…WATASHANGAA MPIRA BOLIBO
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wametamba kiufumua US Monastir ya Tunisia katika mchezo wa Mzunguko watano wa Kundi D, Kombe la Shirikisho...
SIMBA NA YANGA WAOGELEA BAHARI YA MINOTI…MAMA AWALAMBISHA BUYU LA ASALI…WACHEZAJI...
Uongozi wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza moli kubwa kwa wachezaji...
HAWA MADOGO BALAA…UNAMJUA RASHFORD WA AZAM?…HUYU HAPA KINDA HATARI WA YANGA
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni
1. CYPRIAN KACHWELE
Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri...
KOCHA YANGA… AITWA TAIFA STARS…AOMBWA KUONGEZA NGUVU UFUNDI
Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya...
NABI AWACHANA WACHEZAJI…HAKUNA KUKWEPESHA JICHO…”SIPENDI MAKOSA YAJIRUDIE
Hakuna kukwepesha jicho. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Yanga wakijiandaa kuwavaa US Monastir siku ya Jumapili mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.
Yanga...
MUSONDA:- NITAIBEBA YANGA MABEGANI…TP MAZEMBE NILIWAONYESHA…”MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA
Mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda ameapa kuhakikisha anafunga mabao muhimu yatakayoisaidia timu yake kufanya vizuri dhidi ya US Monastir.
Musonda ambaye ni ingizo jipya kwa...
BALEKE:- HOROYA WAULIZENI, MTIBWA SUGAR….”NITAHAKIKISHA NAPAMBANA…KWA MKAPA PATACHIMBIKA
Mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke amesema kuwa mara baada ya kufanikiwa kufunga mabao matatu 'hat trick' katika michezo ya ligi kuu, sasa ni zamu...