Marce Ben Komba
CLATOUS CHAMA…MIMI KAMA MCHEZAJI SINA MANENO MENGI…NITAONYESHA VITENDO ZAIDI
“Jambo muhimu tunalotakiwa kujua ni mchezo ni muhimu kwetu na mimi kama mchezaji sina maneno mengi ya kusema sababu nadhani ninachotakiwa kusema ni kuonyesha...
YANGA IMEFUNGIWA USAJILI?…KWA KUFULI GANI!…WANATUFANYIA FIGISU FIGISU
Wakati Taarifa zikiibuka mchana wa leo kuwa Klabu ya Yanga
imefungiwa kufanya usajili kwa misimu mitatu kutokana na kutomlipa aliyekuwa Kocha wake Luc Eymel stahiki...
YANGA YAPEWA SIKU 45 NA FIFA…YATAKIWA KULIPA DENI…ITAFUNGIWA USAJILI MISIMU MITATU
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa...
MWANASPOTI LEO: MASTAA SIMBA WAAPA KAMBINI LEO…KISA WAARABU YANGA YAPEWA AKILI...
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu March 17, 2023,
Nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
AHMED ALLY AWACHANA CHAMA,MANULA NA KAPOMBE…PUNGUZENI MAKOSA,TUMIENI NAFASI…AMPIGIA SALUTI KIPA VIPERS
Uongozi wa Simba umewapa onyo mastaa wao wote wa timu hiyo kuchukua tahadhari kwenye mchezo dhidi ya Horoya unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kwa...
YANGA:- WAACHENI WAARABU WAJE WANATAKA DAWA…HIVI WALITUFUNGAJE? WALIBAHATISHA…MASHABIKI NJOONI NA SANDA
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa Waarabu watwaambia waliwafungaje kwenye mchezo uliopita kutokana na mipango kazi inayoendelea ndani ya timu hiyo.
Yanga inayonolewa na Kocha...
KIUNGO SINGIDA BS…AMEANDIKA HISTORIA STARS…APATA DENI KUBWA!
Kiungo wa Singida Big Stars, Yusuf Kagoma amefunguka kuwa ni historia kwa yeye kuitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars...
TIKETI MECHI YA YOUNG AFRICAN(YANGA) VS US MONASTIR…FULL HOUSE FULL SHANGWE…MWANANCHI...
YOUNG AFRICAN(YANGA) VS US MONASTIR CAF CONFEDERATION CUP
TAREHE 19.03.2023
SAA 01:00 USIKU | UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TIKETI ZINAPATIKANA MADUKA YA TTCL NCHI NZIMA
TTCL NYERERE...
SIMBA YATUA MAMELODI…YATETA NA VIGOGO WA SOKA…WAONGEA NA MKUU WA...
Mahusiano yenye tija. Simba SC imekua ikijenga na kusimamia dhima ya kujenga mahusiano na taasisi na vilabu vya mpira ndani na nje ya Tanzania,...
VITUO VYA TIKETI MECHI YA SIMBA SC VS HOROYA AC…TIKETI ZA...
SIMBA SPORTS CLUB
SIMBA SC VS HOROYA AC CHAMPIONS LEAGUE
SATURDAY, 18 MARCH 2023 // 19:00HRS // BENJAMIN MKAPA STADIUM
TIKETI MZUNGUKO-TSH 3,000 VIP C-TSH 10,000
VIP B-TSH...