Staff Desk
PHIRI AJIKUTA NJE YA LIST…. ISHU NZIMA IKO HIVI
Wakati Simba ikifufuka na kupata ushindi wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Wydad Casablanca kwa ushindi...
YANGA KUKIPIGA DODOMA DHIDI YA TABORA
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imefanya mabadiliko ya uwanja wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Yanga...
MTIBWA NAE KAPATA PA KUFUFUKIA
Klabu ya Mtibwa Sugar imetumia vyema uwanja wake wa Manungu Complex baada ya kuifunga Mashujaa mabao 2-1, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Katika mchezo...
GAMONDI AWAPA NENO MASHABIKI KUELEKEA MCHEZO WA MADEAMA LEO
Kuelekea mchezo wa leo Jumatano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya timu ya Yanga SC dhidi ya Medeama, kocha mkuu wa kikosi cha...
JE’ MASHABIKI WANAIJUA YANGA KULIKO GAMONDI?
Mpira wa kisasa umebadilika vitu vingi. Zamani wachezaji walikuwa wanacheza kwa namba uwanjani. Siku hizi sio hivyo. Ni mwendo wa kupewa majukumu. Ndiyo maana...
MECHI YA USHINDI NA HESHIMA LEO YANGA vs MADEAMA
“Leo ndio leo leo...” Huo ndiyo wimbo unaogonga kwenye mioyo ya mashabiki wa Yanga na kuanzia saa 10:00 jioni, chama lao litakuwa Uwanja wa...
BENCHIKHA AFUNGUKA HALI HALISI YA KIKOSI CHA SIMBA UPANDE HUU
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amesema anaridhishwa na uimara wa safu yake ya ulinzi ambayo anaona imeimarika kwa asilimia 70 mpaka sasa kulinganisha...
KOCHA YANGA ATANGAZA VITA KWA MKAPA LEO, TAJIRI AMWAGA NOTI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KWA HILI SASA KAZI NI KWA YANGA TU
Straika wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuzungumza na Mwanaspoti juu ya tetesi za kusajiliwa...